Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote.
Simu hii mpya ya gharama ya...
𝗡𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘆𝗮𝗳𝗶𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟰
[emoji189] Nchi ya India imefanikiwa kufika mwezini baada ya kujaribu na kushindwa miaka minne iliyopita, hatimaye India imefanikiwa kufikisha chombo...
Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha...
Habari za leo wakuu,nina Samsung s21 ultra 5g imekuwa na tatizo la kusoma mtandao kwa muda sasa,unaweza weka laini ikasoma vizuri tu baada ya muda haisomi ni mwendo wa Emergency tu na data...
Salaam wakuu.
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha...
Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.
Ndege hiyo...
I can't wait Tesla watoe simu zao so niseme kwaheri na iPhone coz nimewachoka na monopoly yao na ku complicate simple things kufanya ngumu eg ringtones kuweka simple tu, to download everything...
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini...
Hello guys;
Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu...
Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa...
There's a Google Mail feature you have to use. Seriously. You must. Because copying an entire chain of messages after your reply doesn't make any sense when people can scroll down to see all the...
Kama kuna mtu ambaye ni mtaalamu wa Websites na Blog nahitaji mtu ambaye anajua designing nzuri za website na blog na kuwezesha akaunti kukubaliwa na Adsence ili niweze kulipwa naombeni anicheki...
Habari za jioni wanajamvi, kutokana na shughuri zangu, nna matumizi makubwa kiasi ya smartphone, yaan nna magroup mengi ya Whatsapp, nna kazi kadhaa za online. Sasa hii simu nikiwasha tu data...
Habari! Niemeamua kuandika thread hii kutokana na kuona vijana wengi sana wanaosomea mambo ya tehama na wengine watundu watundu waliosoma short course kuchukulia vitu rahisi na kutokuwa na usiri...
Habari ndugu wana jukwaa, Ninaomba kwa anayefahamu app yoyote (iwe ya kulipia au isiyo) inayoweza weza kunisaidia kutrack namba ya simu ili kufahamu iko mahali gani na pia kuniwezesha kuifikia...
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.