Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado...
8 Reactions
14 Replies
998 Views
The two engine types are quite different however. While both have similar internals, the big difference is the way the fuel is injected into the engine. With the VVTI engine, fuel is injected into...
4 Reactions
122 Replies
96K Views
  • Poll Poll
http://youtu.be/hHhPmRHvMRI Unit- 1 Website ni kitu gani ? Kwa tafsiri ya haraka haraka tunaweza kusema kuwa website ni mahali panapotumika kuhifadhi webpage moja ama zaidi. Hii elimu inaweza...
24 Reactions
112 Replies
39K Views
Wakuu nilikuwa natumia yo whatsapp, nimepigwa ban kama inavyoonekana hapa chini. Namba hii ni muhimu sana kuwa whatsapp. Nitumie ujanja gani kuifungua?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna anaejua ku unlock hii pc na ku install Windows. Imekuwa locked na pia inatumia chrome os.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimejaribu kufuata hatua watakazo ila.code sipati? Msaada
0 Reactions
7 Replies
504 Views
Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Wataalam simu yangu imekataa kuondaa alama ya earphone. Hata nikichomeka earphone na kutoa bado alama hiyo haitoki. Hali hii imesababisha hata kukata sauti kwenye spika ya simu Ninaomba msaada...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari WanaJf, Nashindwa kujiunga we chat, kila nikijaribu inagoma ku-verify inataka ni-scan QR code. Naomba msaada wakuu.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore. App kama GB Instagram. Msaada kwa anaefahamu. Forgive me
2 Reactions
5 Replies
567 Views
Habari wakuu Leo ningependa kuongea na wadau ambao wanapenda kufanya electronics. Tufahamu kuwa technolojia inakuwa kila siku kwa speed kubwa sana lakini.. kitu kizuri ni kwamba katika kanuni...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
2 Reactions
14 Replies
884 Views
Tafadhali kama kichwa kinavojieleza, nina shida ya kuwasiliana na mafundi wa fani hiyo walipo ndani ya mkoa wa kigoma.. Shida yangu kubwa ni kuwa kama watakuwa tayari basi niwe mwanafunzi tu...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Our records indicate that the following shipment has been delivered: Reference: 326-977-201312261019-1540540 Ship (P/U) date: Dec 26, 2013 Delivery date: Dec 31, 2013 2:21 PM Sign for by...
1 Reactions
275 Replies
32K Views
Back
Top Bottom