Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani...
๐๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐๐บ๐ฒ๐ฐ๐ต๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐๐ป๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฏ๐ฌ๐ ๐ฃ๐ฟ๐ผ
Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza...
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.
Vipi...
Habari ๐
Moja kwa moja kweny mada.
Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf...
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa...
๐ ๐๐ป๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ฒ๐๐ฒ๐๐ต๐๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐ถ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ฒ๐๐ถ ๐ถ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku...
Salaam wana tech.
Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc.
Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D...
YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips
Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips...
Kuna habari ambazo nilizipata kutoka kwa mmoja wa "reliable sources" wangu kwamba simu zote zinazoingia Tanzania hasa zile za kutoka Ulaya Magharibi huwa zinasikilizwa na kuchujwa na kisha...
Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer.
Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali...
Aslaam,
Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA?
Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank...
Elimu ya anga naona teknolojia za AI na mahesabu kuchanganuliwa kwa haraka kumekuwa na ugunduzi mkubwa sana kuhusu upatikanaji wa sayari mpya na nyota mpya ambazo ni kama ndoto kwa habari...
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na...
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo...
Badilisha Biashara Yako kwa Suluhisho za Kisasa za Kidigitali! |๐Transform Your Business with Cutting-Edge Digital Solutions! ๐
Biashara yako inapoteza pesa kila siku bila teknolojia sahihi! Kama...
Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama...