Habari wakuu,
Nina simu aina ya oppo ilizima sababu siku chaji sasa wakati wa kuchaji inaniandikia hayo maneno hapo juu halafu inazima.
Wataalamu nisaidieni hiyo ni ya kubadili battery au ni...
Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii...
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router
Nina Smart TV yenye kuingia...
Habari ,Poleni na Majukumu ya kila siku! Nina changamoto moja ya whatsup yangu hii mara ya pili imekua ikiwa locked hivi.
Naombeni msaada maana nafahamu humu Kuna wataalamu wengi sana wanaoelewa...
Wakuu, Voice over LTE ni huduma inayomuwezesha Mtu Kupiga simu wakati Simu ipo kwenye mtandao wa 4G au LTE bila disruption yoyote ile sasa ndugu zangu Airtel wao mpaka leo hakuna Hio huduma kiasi...
Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia.
Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia...
Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa...
Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4.
Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia...
Wakuu Salaam,
Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.
Asante.
Kwa kujua kua AI ya deepseek ni ya china ! Nimeiuliza swali au historia ambayo china huwa hawaipendi.
Lengo ni kuona jinsi technologia yako inavoweza kukufadhiri au kukufichia aibu muhusika...
Mtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi.
App yake inapatikana playstore na appstore kwa kuweza kuitumia.
Moja ya...
Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.
Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya...
Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu...
Hello!
Katika kutaka kupima uwezo wa hizi AI hasa hii Chatgpt hasa kwa maswali ya calculation baada ya kuona maswali ya maelezo wanapita nayo balaa.
Basi nikachukua swali la uchumi juu ya mambo...
habari zenu wana Jf
nimekuja hapa kwa ajiri ya kuwasilisha utafiti wangu ambao nimeufanya juu ya mchezo wa kasino wa AVIATOR ambao unaonekana umewaliza vijana wengi pia unaendelea kuwaliza...
Wakuu poleni na majukumu.
Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Habari wana JF, nahitaji kujua bei nzuri an affordable ya Pasi kampuni ya PHILIPS. Nimejaribu kupitia uzi bei zina range 28k adi 40k ila nimepitia jiji Tz kule naona bei zake zina range 50k adi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.