Habar wakuu,
Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn.
Natakiwa ninunue nin...
Simu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.
Wapenzi na wadau wa Samsung.
Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra.
Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24...
Wakati wengi wanakubali kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kuleta mapinduzi ya viwanda na kuboresha maisha, kuna wasiwasi unaoongezeka juu ya athari za kimaadili na usalama wa maendeleo yake ya...
Kwema wakuu??Ni ipi online application nzuri naweza pata kusikiliza Radio za hapa nyumbani??Maana npo naishi bondeni huku hata Radio hazishiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita.
Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please
Asanteni
𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗮 𝘆𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘆𝗼𝘁𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kama mpenzi wa masuala ya Anga basi mwaka huu 2025 kutakua na matukio mengi ya kushangaza ambayo utaweza kuyaona live kwa macho yako.
Haya ni...
Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a
Kuuza ni ngumu
Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma...
Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.
Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.
1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu...
Nimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto
Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma...
𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼
Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali...
𝗠𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗻𝗴𝗮 𝘆𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼𝘁𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟰𝟬 𝗦𝗶𝗼 𝗺𝗰𝗵𝗲𝘇𝗼
Kabla hatujafikia mwaka 2040 kuna miaka 15 ndani yake kutatokea matukio ya Aiabu kwenye Sayari yetu ambayo mengi ni ya...
Habar wana I.T nawezaje kupata simuliz za ruhundwa zlzokamilika bla kutumia app yake iliyopo playstor,maana app ile kwang inagoma kunisajil,msaada wenu jaman kwa anaefahamu
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.