Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natumia laptop windows 7,RAM 1024MB Kila nikibofya video ya youtube inaanza halafu ghafla inakata na baada ya muda inacheza, kisha inakata tena.Hii imekuwa kero mpaka video za youtube...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawezaje futa post yangu toka Facebook page yangu.Msaada wakuu tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nahitaji msaada wa kujua reliable, affordable wireless provider company hapa dar ambaya ina coverage kubwa. Kutaja configuration cost zake na bundles subscription itakuwa vizuri zaidi. Anaejua...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Why is the keyboard layout Q-W-E-R-T-Y and not simply A-B-C-D-F? Why were computer keyboards designed in the current format not in a alphabetical order. Is there any specific reason or it's just...
1 Reactions
5 Replies
966 Views
Habarin za huku ndugu, samahan kwa usumbufu, jaman mm nna tatzo moja tu mwenye uwezo naomba anisaidie..... Nataka kujua ni mfumo/software gani wanao tumia watu wa cyber katika kumuekea mteja muda...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
habari zenu wadau?' je kuna yoyote anaejua "code" ambazo zinamsaidia mtu kujua kama simu ni original? Mfano, Nokia {*#0000#} Naomba msaada kwa zile simu nyingine, kwa anaejua...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Naomba mnielekeze namna ya ku unlock ALCATEL MODEM IMEI; 867612004088039 MODEL:X230E ( nikiweka laini nyingine inanambia niweke NCK, NA NIMEBAKIZA 3TRIALS)
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakubwa naombeni Msaada wa kujua tofauti ya Ipad na Tablet Ninaitaji kuingia kwenye ulimwengu mpya wa matumizi ya kimojawapo (tablet ua ipad) Kabla ya hapo naona ni bora nizijue kiundani.
0 Reactions
35 Replies
16K Views
My first responsive website to be posted on JF Hi, I have bee designing dynamic websites for sometime now.Due to the change in technology more internet users will be accessing the web from their...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajukwaa naomba msaada kwa anayejua key za software inayoitwa Noise Ninja 1.2.3b natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Mwenye Download link ya vodafone 875 Smartmini Custom Rom Ambayo iko compatible na hii smartmini comment hiyo link hapa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naombeni msaada ndugu wana jf nimenunua simu ya vodacom smart kicka sasa nataka iwe inatumia mitandao yote mwenye ujuzi naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamvi naomba msaada wenu/ushauri kwa mtu ambaye amewahi / antumia hizi smart phone kati ya HTC na 4n ipi ambayo iko vizur zaid kwenye access ya net hasa sehemu zenye low internet...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kunitajia maduka yauzayo accessories za simu kama housings, back covers, memory cards,flash disks, earphones, screen protectors etc yanayopatikana DAR au MOROGORO. Na kama ni...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wenye ufahamu na hili suala naomba anisaidie, je kuna uwezekano wa kupata aces ya internet kupitia mitandao ya tigo au voda ukiwa nje ya nchi? na gharama zake inakuwaje? Kwa hapa nilipo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisaidieni App ya Android yenye uwezo wa ku block namba nitakazo (blacklist) bila ku block namba mpya. Pia isiyoonesha notifications zozote zile
0 Reactions
8 Replies
4K Views
KONAMI wameonekana kutowafurahisha wateja wao hasa wale wanaotumia windows{pc} baada ya kushindwa kuweka DEMO kwenye game lao jipya ambalo linasubiliwa kwa hamu la pes 2015 hali hyo imetokea baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nijisemee mimi,huwa naendesha gari za automatic kwa mguu mmoja[wa kulia] tu,wa kushoto naukunja au na u rest vyovyote nitakavyoona nimekaa vizuri. Kwa gari manual natumia miguu yote...
4 Reactions
80 Replies
11K Views
Nokia to shut down factory in India on November 1 after Microsoft cancels purchasing deal General News By...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Apple has updated its App Store to show new statistics for iOS 8, its new mobile operating system. It's not looking good. 9to5Mac reports that iOS 8 adoption has increased by just 1% since Apple...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Back
Top Bottom