Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za mchana huu wanajamii. leo nimekuja na hii hoja ya kuwa napenda kuwauliza apps developers wa humu ndani kuwa kumekuwa na apps kwaajili ya OS mbalimbali kama vile iOS, BB OS na Android...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Ninaomba kwa anaeweza kunisaidia unlock code za alcatel x230e. IMEI:867612003916677
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari; Naomba msaada kama kuna mru anaweza nipatia soft ya data recovery kwenye phone memory card,maana kuna vitu nilivifuta siku nyingi kidogo ila leo navihitaji kupita kiasi. Msaada...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mac computers can't get viruses Matt Rosoff Business Insider Yes, Apple computers are susceptible to malware, too. Apple used to brag its computers aren't...
2 Reactions
3 Replies
942 Views
Nina laptop yangu ya Hp EliteBook 6930 umeharibila kioo nahitaji kujua gharama za kubadilisha kioo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu wa Gadgets Ndugu yangu amesahau namna ya kuingiza pattern kwenye simu yake hivyo anashindwa kuitumia. Naombeni msaada afanye nini ili aweze kuifungua tena simu yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Android-the most widely-used mobile operating system in the world made by Google-actually owes a lot to patents owned by its erstwhile rival, Microsoft. There has been a lot of speculation about...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko na dstv decoder ila nataka kununua fta receiver tofauti na dstv so nauliza kama nitaweza kutumia hili nililonalo(dstv) pamoja na hio lbn iliyopo Msaada wenu nauhitaji xana
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapo awali mtandao wa airtel ulikua unafanya vizuri kwa internet na pia network kawaida huku mikoani,nawashauri mtoe taarifa kama kuna matengenezo mnafanya otherwise mjirekebishe kwani hatuwaelewi!!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
eBay listing for the iPhone 6 prototype An opportunistic eBay vendor is selling what they claim to be an iPhone 6 prototype - a device that Apple would use for internal testing but that...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana Jukwaa Naomba msaada ni namna gani naweza tumia huduma za vifurushi vya internet kwenye simu Yangu bila kujiunga na special bundle LA blackberry. Natanguliza shukrani. Cc...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada, naweza zipata vip kwa mapema, wa zoefu tusaidiana hapa. Thanks.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Guys wapi naweza pata mtu wa ku-unlock Vodacom k3772z awe maeneo ya Ubungo,Sinza or Kimara.....au kama kuna mtu anayejua jinsi ya ku-unlock anielekeze.......
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wataalam salam kwenu.hebu niambieni kama kuna uwezekano huo.naweza kumtumia mtu ujumbe kwenye whatsapp bila yeye kupna namba zangu? au naweza kuweka namba yangu invisible asiitambue?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu wa mambo ya matechnolojia, naomba kuuliza steps za kuunganisha simu nyingne itumie internet niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia simu yangu aina ya blacberry mana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenu wakuu wajuzi wa haya mambo, naombeni msaada juu ya ku-connect internet kwenye tablet yang inayotumia lain mana nikiweka laini inaniambia 'NO INTERNET CONNECTION' sijui ni settings gani...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Wandugu leo nilikuwa najaribu kujifunza kujaza Ccccam kwenye qsat 15g yangu ila hiyo acount ilishatumika ikagoma kuconect niliporudi kwenye ile avatarcam hd imegoma kuconect kwenye sever msaada jamani
0 Reactions
4 Replies
961 Views
nahitaji kuriset user and pass,kwa anayefahamu kuhusu hizi vodafone webbook laptop ambazo zinakuwa na ubuntu os msaada tafadhali
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Natumia huawei y530 memorycad haisomi kila nikiingia kwenye sd cad inasema no memory card nifanyeje ili kuiona
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom