Wakongwe wa digitali Tanzania DSTV,wameingia sokoni tena kwa kasi kwa punguzo la Tsh.50,000/= full set ni Tsh.99,000/= tu.Pia wameweka kifurushi kipya cha kitanzania kiitwacho BOMBA kwa kiasi cha...
Ivi kwenye simu, rum ni nini mfano tecno p5 ina rum 512 mb na tecno m5 ina rum 1gb, na mhz ni nini moja ina 1000 na nyingine 1300. Niambie mwenyekujua plz
nikicheki naona swapper apps nyingi kama RHEOSOFT RAM expander,yenye uwezo wa kuchukua sehemu katika internal storage ya simu yako na kuiongezea kweny RAM,inahitaji rooted devices....naomba kujua...
Habari zenu!!
Mara nyingi natumia line ya voda kwenye simu yangu, galaxy ace 2!! Sasa kila nikijaribu kuweka line ya tigo internet haikubali pamoja na kufanya setting upya kwenye Apn!
Je...
wakuu naombeni msaada wa data recover nzuri .
kwa yeyote mwenye link au jina la aina ya data recover nzuri anijuze maana nimetafuta online kila nikidownload napata zinazo weza kurecover mb kadhaa...
Habari wanajamvi...
naomba msaada simu yangu inagoma ku-upload picha na video kwenye social-network tatizo hili Ni kwa picha nilizopiga na lilianza baada ya kubackup simu,
aina ya simu Ni Nokia...
Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue...
Habari zenu wakuu wa mambo ya
matechnolojia, naomba kuuliza steps za
kuunganisha simu nyingne itumie internet
niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia
simu yangu aina ya blacberry mana...
Wadau naombeni jinsi gani nitaweza kutatua hili tatizo kwani kila nikiwasha simu ndo notification nnayoipata na kunifanya nishindwe kutumia baadhi ya apps kama whatsapp facebook google chrome na...
Natafuta program ya computer, ambayo ipo hv:
INAKUWA NA COLUMN/ROW KM TATU AU ZAIDI.
KATIKA HIZO COLUMN/ROW NAWEZA KU APPLOAD PICHA NYINGI WALAU NNE.
NA COLUMN/ROW ZINGINE NAWEZA KUANDIKA...
Habari wadau,
Naomba mnisaidie info za dealer au wapi naweza pata dell latitude e6440 laptop hapa dar au latest version ya latitude ili mradi iwe genuine na bei ya kawaida.
Shukrani sana!
Basi nikjua kampuni ya blackberry ilishajifia kitaaambo, actually haipo kwenye race za smartphone japo siku za awali wao ndio walikuwa vinara, anyways siku mbili zilizopita jamaa wametoa kitu...
Amani kwenu wanajamii.Laptop yangu mwanzo ilikuwa inaweza kudownload video vizuri ilikuwepo internet download manager. Lakini sasa nikitaka kudonload inataka niweke serial number.Nimejaribu...
naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.