wakuu nina modem ya huawei e153 ya tigo ambayo nimei downgrade....... sasa spidi yake siyo kama ilivyokuwa awali hivyo basi vipi ninaweza ku upgrade modem yangu?
jamani waungwana ninasimu yanu aina ya acer model E320 Imepasua kioo kwa yeyote anayejua ninapoweza kupata hiyo touch na kioo naomba msaada wake wa maelekezo
Ndugu wana Jf nina simu yangu ya Iphone 4 nilibadili version yake ila baada ya kuja kuwaka ikawa ina nidai ID na vitu vingne ambavyo mm nilishavisahau so natakiwa ku unlock mwenye maarifa juu ya...
Habari za mchana wakuu
Na laptop yangu ni DELL latitude 530.
Ambayo specification zake ni Ram 2Gb , processor ni core 2 .video memory ni 64 mb iko fredh tatizo ni hiyo...
Hallo wazalendo, naomba anayejua mahali naweza kupata battery ya laptop lenovo 3000 N2000. Nijulishe mahali au msaada wa kuipata pia bei yako. Nipo Uyole -Mbeya. Shukurani.
Naomba msaada mwenzenu.
Naipenda JF ila natamani kuwe na option ya kublock mtu yani post yake mimi tu nisiione. Wengine wenye kuenjoy style yake waendelee kufaidi.
Inaweza kuwapo?
Rafiki kama nilivyoeleza hapo juu naomba mwenye software ya time watcher anisaidie nini cafe ndogo kama computer 5 sasa nashindwa kuweka kumbukumbu za muda kwa wateja na kila mteja ana saa yake...
Wakuu naombeni mnipe ushauri..
Nataka kufungua mtandao wa habari, Nimeshajiandaa baadhi ya vifaa kama camera na tape recorder
Naomba mnisaidie mawazo yenu mliowajuzi wa aya mambo, ni kipi...
guyyzz ..! msaada wenu plz
nikitakata kuwa vizuri ktk maswala ya kuflash na ku unlock simu modem n.k nini nifanye (na software gan nzuri ?)
au computer iwe na spesifiation zpi?
Prof John Nkoma, TCRA Managing Director
Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) intends to scrap the time limit condition enforced by telecommunication firms on subscription bundles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.