Wana Jamii Forums,
Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear.
Je kuna mtu yeyote anafahamu solution...
Tangu jana playstore yangu imegoma kudownload na wananiambia tatizo ni nafasi imejaa.
Nachoshangaa ni kuwa mi nina free space kama MB 130 lakini hata nikitaka nidownload kitu cha Mb 1 bado...
Habari ndugu wana jamvi, kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo naomba anipatie ufumbuzi laptop inafungua google na facebook tu web zingine inafungua mara chache sana, wakati fb/gl zinapo funguka...
Habari wandugu. Nimenunua gari ina Dvd player na radio. Kuhusu radio inapiga vizuri lakini nikiweka Cd inaandika kijapani na haichezi. Nimejaribu kubonyeza bonyeza button zilizopo lakini sielewi...
Pimp your iPhone: 20 essential tips
Apple's iPhone, the handset that almost single-handedly kickstarted the smartphone revolution, is instantly recognisable. Last year we got two new models...
mambo haya tayari yameshakuwa confirmed
1.store ya kudownload apps itakuwa moja bila kujali unatumia simu au tablet au desktop
2.developer atacode application moja tu lakini itafanya kazi kwenye...
Kutokana na ushauri niliopata kutoka kwa wadau mbalimbali nimeamua, kununua part moja moja ili niweze kutengeneza pc, kwa ajili ya kucheza magemu ya mapya yenye requirement kubwa.
Naomba...
Habari wadau,
Nimeroot simu yangu tecno m3 nikaondoa battery alert, baada ya kuiondoa. simu yangu ikifikia 15% ya battery siwezi kutumia tena huwa screen inakuwa nyeusi na kuandika "anfortunatly...
Nataka kuichukua hii gari waliowahi kuitumia na wataalam wa magari naomba mnipe juu ya ubora wake na matatizo yake kwa ujumla ili nitakapo inunue nijue shida yake ni nini hasa.
habari za cku ya leo jamani? mimi naombeni mwenye kufahamu anisaidie jinsi ya kujiondo kwenye mtandao wa FACEBOOK mana imekuwa usumbufu na kero zisizo vumilika.
Katika kuendelea kusambaa kwa teknolojia nchini kwetu mambo yamekua rahisi zaidi, hasa taarifa za picha. Angalizo langu ni kwa wale ndugu zangu wanaopenda ku-download ramani za nyumba na either...
Nimejaribu kutaka kujisajili na huu mtandao lakini nimeshindwa kutokana kutokuona sehem iliyoandikwa sign in ..sign up n.k. sasa kwa anayefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huo mtandao atujuze
Windows yangu imeleta message kwenye screen " ACTIVATE WINDOWS
GO TO PC SETTING TO ACTIVATE WINDOWS"
Kweli nimechoka kuondoa hiyo kwa kwenda kwenye pc setting lakini sijaona hiyo option ya...
Jaman nawaombeen mwenye kujua dollar moja ilikuwa TSH ngp kwa siku mbili zilizopita?coz nimeambiwa huwa zina vary kila siku.Natafuta kwenye internet mtandao unazingua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.