Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana JF Nilikuwa natumia R Sim 9 pro for unlocking iphone 5 after upgrading to ios 8.0.2 naona haifanyi kazi tena!!! Je naweza pata R sim 9 plus au Gold kwa hapa Tz??? Msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Kwa anaejua program ya kurecord,nataka niwe narecord mahubiri kanisani kwangu ili nikitaka kuyasikia tena nipate kusikiliza nyumbani kwangu
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Natumai m wazima. Nina laptop ya HP nimekuwa nikiitumia vizuri for the past year or so halafu ghafla ikaacha kutoa sauti na hapo kwenye icon ya sauti kuna X nyekundu na nikiweka mouse pointer...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow wana jamiiforums, Natafuta kampuni ambayo inatumia Oracle kama database yao ili niweze kujiimarisha zaidi katika eneo hili la Database, kwa sasa nimefanikiwa kuwa Oracle Certified katika...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mtandao wa kijamii wa Ello unapokea maombi 31,000 ya watumiaji wanaotaka kujiunga kila saa moja hali ambayo inaibua ushindani mkubwa kwa mtandao wa Facebook. Muanzilishi wa mtandao huo Paul...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Simu imekuwa slow pia kuna message kila mara kuwa launcher not responding. 2. Internet tigo haifunguki.. nimewapigia wamesema IMEI zangu hazipo labda niende ofisin kwao waniunganishie manual...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Natafuta notes za survey na omba msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nawasalimu, kisha naomba msaada jinsi ya ku unlock AT&Tlumia 520 ili iweze kutumia mitandao ya Tanzania. natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Naona tutorial nyingi Youtube sauti iko clear sana na inasikika vizzuri Na hapa zile ambazo mtu anafanya SCREEN Recording ya Laptop yake au huku anaelezea anachokifanya sasa nilitaka hii...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nna hiyo simu tajwa hapo Juu ila cha kushangaza kuna baadhiya apps nashindwa kuinstall kila wakati inasema memory low inaleta error lakini uhalisia ni kwamba memory card ina space kubwa na hata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari! Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, kuna picha moja ina ujumbe murua saana nataka kuicopy niwenayo ila sijaweza icopy. Msaada nawezaje kuicopy? Ur welcome folks!
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Natumia hii simu tajwa hapo juu, naomba kuuliza wanao tumia au kufahamu tabia ya simu hii, ninapoichaji huwa inakata network mpaka niitoe kwenye chagi ndio mtandao unarudi. Msaada tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Nimetengeneza DROPDOWN MENU kwenye website yangu kwa kutumia html na css. laikini cha ajabu kila kitu kinaenda sawa ila nikipeleka mouse pale kwenye link ambayo nimeiwekea dropdown menu hakuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwa wale waliokuwa wakiikandia design mpya ya apple nafikiri walikua sahihi kwa decision yao ya kueka aluminium imezua balaa kubwa duniani kote. watu wengi kutoka maeneo tofauti duniani wanaripoti...
5 Reactions
118 Replies
16K Views
Wakuu poleni kwa uchovu na miangaiko ya kutwa nzima, naombeni msaada kwa yeyote anayeelewa setting ya kufanya nipate notification kama mtu akireply thred niliyoweka au kama mtu akichangia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
807 Views
pitia hapa afu unipe ushauri ninunue cm gan((with a reason)) kat ya hz mbili,, 1; General Info Manufacturer Huawei Motorola Announced January 2014 May 2014 Status Available -...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jf android imegoma......hapa inajlkuwaje..?
0 Reactions
0 Replies
639 Views
APPLE WAZIMA KELELE ZA WAPINZANI NA IOS 8.0.2 Mwandishi Wetu Apple wametimiza ahadi ya kutokulala mpaka kieleweke kuhusu iOS. Siku ya leo wametoa iOS 8.0.2 ambayo itasuluhisha matatizo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom