Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau ninaomba msaada wa jinsi gani naweza kuburn movies nimedownload kutoka youtube zipo vlc na Mp4 nataka nizihamishie kwenye cd; mwenye kujua ni software gani ya kuburn na jinsi gani ya...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Hivi kuna sony xperia Z2 feki? n kama kunazo utajuaje ni feki? thanx.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jaman nataka niinstall window kwenye laptop yang ni bonyeze wap
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Laki kipind cha nyuma nilikuwa nacheza fifa 12 tena bila shida yoyote nashindwaa kuelewa tatizo Na ma game mengine Kama hitman linafunguka arafu linagoma tena inaandikia close window . Msaada...
0 Reactions
4 Replies
760 Views
Nimeifanyia Kazi for kitu kama Wiki moja na Nusu... Nashukuru Mungu nimeimaliza... check it out and tell me what you think! cc : Magembe R. Malima Nyasiro Good Guy #StayCreative
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Naweka search function katika android application Assume nina MainActivity na SearchableActivity Searchable.xml configuration katika app manifest file ikae kwenye activity ipi kati ya hizo...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Ninatumia Software ya Mobile Partner (Zantel) kwenye masuala kujiunga kwenye internet...ila software hii ina/featurefunction/module ya kupiga simu (Call Module). Tatizo lake ukiingiza namba ya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, ninataka kuburn movie nilizo download na torrents, natumia external cd-rom na nero kama burner. Movies nyingi nilizo download ziko kwenye form ya DVDRip,HDCam,DVD Scr,BRrip n.k...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau nina smartphone mpya aina ya lenovo(P780-Row) inatumia android v 4.2.1 naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuinstall internet settings za mtandao wa TIGO customer care...
0 Reactions
12 Replies
37K Views
Useful Secret Codes of Nokia mobile phone *#06# for checking the IMEI (International Mobile Equipment Identity). *#7780# reset to factory settings. *#67705646# This will clear the LCD display...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Naombeni msaada jinsi ya kuconnect cm yangu ili niweze ku play nyimbo na video kwenye dvd player yangu mm nahisi kuna maelezo siyaelewi. Vizur naombeni msaada
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Habari zenu wadau! Hp Cp 1215 nilitaka kujua kama ipo vizuri, kwa mwenye ufahamu na hili tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Below is the full text of the Apple statement: We wanted to provide an update to our investigation into the theft of photos of certain celebrities. When we learned of the theft, we were outraged...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Msaada wakuu,natafuta kifaa hiki,FM TRANSMITTER TUNER ambayo naweza kuitumia,kusafirishanmawimbi ya sauti (audio signal) kwa wireless.naweza kupata wapi, kwa bei yoyote wakuu, mimi nipo Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Hi there, I have two views one is clients and another is projects but there relation is a field named client name (on drupal 7) + clients - client_name (text) - client_logo (image) +...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mtu yoyote yule anaye hitaji kujifuza unix na maswala mbalimbali ya cloud computing na SDN nenda @2weed2geek | 2weed2geek nimetengeneza lab ambayo nimatumaini yangu ita tufaa wote.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana If Naomba msaada kwa anaefahamu jinsi ya Ku root Sony Ericsson version 2.3.4 bila kutumia pc
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Habari wakuu. Nina simu aina ya Galaxy Y Duos, shida ni kuwa nikiingia ndani haifanyi kazi kabisa yani network inakata japo za wenzangu zinafanya vizur tu. Je! hapo tatizo ni nini? Na nalitatua...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Toka nimeweka window 7 baada ya miezi sita computer yangu imekuwa nzito sana kwenye upande wa internet pamoja na nikitaka kuiwasha ndo kabisa inabidi niwe mpole kwani inachukua nusu saa nzima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna mambo uwa siyaelewi kwenye os za microsoft windows. Mfano kuna kipindi cha nyuma niliwahi post kuwa cd yoyote ya windows 7 inakuwa imecontain versions zote ila kuna jinsi ilivyofungwa ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom