hiki ni kifaa ambacho ukikitazama utakiona kama kitu cha kipuuzi puuzii hivi,lakini hiki ndio kifaa ambacho ninatoa mchango mkubwa katika dunia yetu,hiki kifaa ni CPU( control poccesing unit)...
Habari waheshimiwa,
Nina mpango wa kutengeneza website na mobile applications ambayo inahusika Alumni registration (yaani inakuwa na form ambayo wanafunzi waliomaliza wanajaza au ku edit)
i.e...
Habari wakuu,Nina mpango wa kujenga nyumba kijijini kwetu ya bati 20,gharama kubwa ambayo nitaipata ni bati,mbao na misumari,tofari hizo ni cheap sana maana tofari moja ya kuchoma haitafikisha...
What smartphone are you using and why are you using it? I'll start with moi. I'm a tech enthusiast, I review smartphones and other tech products. So I use different smartphones every now and then...
Wiki chache zilizopita laptop yangu ilishindwa kufungua windows 8.1 baada ya laptop yenyewe kufanya update. Niljaribu kila njia kuifufua lakini ikashindikana. Kibaya zaidi ni kuwa laptop hiyo...
4K TV, also known as ultra-high-definition TV (ultra HD), is the next generation of television picture quality, displaying four times the detail of HD.
What's so special about 4K TV?
4K, or...
wakuu,
kuna Tv za digital zinazokuja na kingamuzi kwa ndani, msaada wa hatua za namna ya kukiunganisha kilete picha kwa maeneo haya yanayopatikana masafa ya Terrestrial..
Mimi natumia huawei y300 naomba kusaidiwa jinsi ya ku transilate kutoka lugha za kingereza kuja kiswahili kwani kunamakala nyingi zipo ktk lugha yakingereza na mm nakosa uhuru wa kuzisoma...
Heshma yenu wakuu,
nina tatzo katika simu yangu ya android nashndwa kudownload application yeyope kutoka kwenye playstore inaniambia 'could not be downloaded due to an error'
Kwa yeyote ambae...
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa...
Wakuu nina samsung s4 nili unlock kwa 7bu ilikuwa haisomi mtandao wa tz lakini baada ya hapo 3g network imekuwa ikisoma kwa shida. Nilikuwa naomba Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia ku fix hili...
Wadau
Kwa yeyeto ambaye anajua uzi au mahali ninaweza kupata Technic za JF anijulishe.
Mfano:
Nataka kuupload picha kutoka kwenye mtandao na ninataka itokee kama picha sio link nifanyeje? Na...
Kama picha zinavyojionesha hapo chini. Picha ya kwanza ndivyo hiyo blogu inavyotokea ukitaka kurekebisha sehemu ya
comment ili ziweze kuonekana. Picha ya chini ndivyo inavyotakiwa ionekane na...
Dear Friends and colleagues,
I would like to take few minutes of your time to fill out my survey on IT & Mobile security, if you are currently holding an IT position or are familiar with IT and...
I'm addicted to lots of sites which I don't want to name and I need to get them off the computer. but I have a PC and I use Safari. I know it's weird. Anyone help?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.