Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana ndugu, msaada jamani courier gani yupo fair upande wa bei (ukizingatia na muda pia wa mzigo kuwahi kufika), kuna envelope yangu nataka kuituma itoke USA to Tanzania, mwenywe...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Nime down load software ya vodacom ili niweze kuangalia tbc bure kama wanavyo dai. Lakini haieleweki mara ina nila credit au saa zingine haichukui credit. Kuna mtu imesha mtokea au anajua kwa...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Jaman nimetumiwa pesa toka marekan kupitia Email yangu bt wonderful enough nilipoingia tena kwenye email yangu ili nichukue details nikatoe pesa ile sms siion tena lkn sms zingine zpo. NAOMBEEN...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Unknown
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni simu ipi kati ya android na window phone inafaa zaidi kwa matumizi au nini tofauti ya hizi simu mbili ktk matumizi
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Hi Folks. After writing my article Create bootable USB for Windows 7 many people ask me about how to install Windows XP via USB.So here in this article I'll show you how to make a bootable USB...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari ni kwamba... Tv yangu ni mpya aina ya LG imepata michirizi kadhaa kwenye kioo siku chache zilizopita nilikuwa sijui ndio...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau...natumia dish na receiver ya media com. Naombeni msaada wa kuingiza zile namba ili picha ziweze kurudi. I mean, Symbol rate, Frequency, Sat Name etc Ntashukuru sana. Tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na masomo mazuri yaliyosimamiwa na Calvin power na Dr phone kuhusu ku unlock modems. Ni somo ambalo mimi nimekuwa mwanafunzi mzuri na nimegain sana tu.Leo naomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana tech, Fahamu njia rahisi ya kuokoa simu iliyoingia maji, Vitu unavyohitaji: Mchele, towel, chombo chenye mfuniko (i.e container) Punde simu yako inapoingia kwenye maji, au...
3 Reactions
29 Replies
13K Views
Ndugu wanaJF, natumia simu aina ya Sky Vega inanitesa kwa tatzo la kuniandikia Connection problem or Invalid MMI code kila ninapotaka kuangalia au kuweka salio. Nimejaribu trick ya kutumia "," na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani hivi hizi dongle za avatar ndio zimefungwa?maana naona taa nyekundu inabring kama kawaida ila haifungui chanel zote ,si dstv wala my tv.anayejua kinaendelea nini anijuze maana sijui...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Asante sana kwa Jamiiforums na wadau wake kwa ujumla. Wadau mmekuwa chachu kwa kila nacho kifanya,maoni yenu na criticism zenu zimekuwa ngazi kwangu kufikia ubunifu...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Je ni king'amuzi gani naweza kutumia kuangalizia Tv kupitia laptop. Namaanisha laptop kuitumia kama Tv kwa kutumia hicho king'amuzi.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Mwenye hiyo simu jamani naomba ani PM tufanye biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama kunaanayeweza nipa software au link ya ku unlock Modem za voda nisaidieni inanisumbua sana
0 Reactions
11 Replies
4K Views
naomba kuuliza jinsi ya kuunganisha internet simu aina ya tecno 728 pia kama ina uwezo wa kuangalia video online kama kupitia youtube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu jaman,pc yang inadownload vitu lakin kuviinstal ni shida Na sauti ya pc yang iko chin san hata nikiongeza had mwisho.. Msaada wenu tafadhar jaman
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Naomba kufahamu ndugu zangu tofauti kati ya hizi courses; IT, Computer Science & Computer Engineering. Ahsanteni sana
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wana Jamiiforums naombeni mnisaidie wapi naweza pata Screen ya Toshiba Satelite L850? msaada wenu ni muhimu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom