Habari zenu wadau!
Wajameni naombeni niulize kuhusu hizi simu labda kwa alie nunua au aliekwisha zitumia vipi kuhusu uwezo wake kiinternet ukoje mana nataka kununua moja kwa matumizi yangu ya...
Habari zenu wanajamvi !
Nina desktop IBM model 830781U nina tumia windows xp sp3. Cd/dvd drive haionekani kwenye my computer kila nikiweka cd haiplay. Mwanzo ilikua inafanya kazi vizuri baadae...
Jamani mwenye ujuzi kidogo na simu, galaxy s4 imeji blok, mtoto kachezea pattern nkiiwasha inaniambia nweke email na passwod na mimi pass word sikumbuki jamani.
Naomba kama kuna mtu anakumbuka...
Habari zenu wana JF,
Kama hardline ilivyojieleza, kama kuna mtu anajue app yoyote ya kuweza kuhifadhi. Mfano picha, video & miziki ili niweze kuformat memory card yangu please nisaidie maake...
Jaman habari zenu? Nilikuwa naomba kama kuna yoyote anyeajua ni software gani zinahtajika kuunlok na kuflash device mbalmbal km simu modem nk.anambie nina diploma ya it nataka nijikite kwenye hii...
Geeks, nimenunua simu tajwa hapo Tigo, ila lugha yake nahisi itakuwa either Polish or Swedish.
Sasa naomba mnielekeze how to reset it into English. From the"Setting" icon to the end.
please?
Hellow JF!!
Modem za tigo zile za mwanzo mwanzo zinachakachulika kwa urahisi sana, So unaponunua modem ni bora ujue unanunua ipi ya zamani au ya sasa!!! ok tuanzee tuache longo longo
Tatizo...
Hi there,
Nime design website for my client na ku develop into XHTML/HTML, mimi nimeshazoea kufanya kazi za website kwa kutumia drupal CMS, joomla, wordpress, moodle and most of open source CMS...
Kwema ndugu?
Kuna hii concept ya iCloud Lock. Nini maana yake na simu yenye hali hii huwa vipi? Na je hii huwa na tofauti gani na carrier Lock?
Nauliza swali hili na pia naomba msaada wa...
Wakuu nimepata tatizo kila nikiweka modem za Kampuni yoyote (TIGO, VODA na AIRTEL) kwenye laptop yangu inanipa ujumbe kuwa "the device driver software was not successfully installed"...
Nafikiria kununua decoder ya TV but najiuliza nichukue ipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan, pia signal zao sio nzuri saaana...
Hi JF,
Natumia simu aina ya SAMSUNG GALAXY DUOS GT-S6102, kwasasa iko slow sana katika kopakia (loading) na mara nyingi kuna ujumbe unanionesha ni up-date simu yangu.
Naomba msaada nifanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.