Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari za mchana wana jamii forum naombeni msaada,, ninataka kubadili picha huku nafanyaje hapa ndonilipokwama nimejaribu sana nimeshindwa kwa mwenye kujua naomba anisaidie
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kufahamishwa, laptop yangu kwenye icon ya battery inaonesha eti no battery detected wakati battery ipo. Moto hauingii kwenye battery, ukizima umeme laptop nayo inazima...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Habari za jioni wana jukwaa, nina simu aina ya lenovo, kuna kijana aliichezea, sasa ameweka lock, kila nikiwasha inanidai lock, nashindwa hata kuitumia jamani, ninaomba msaada nifanyeje jamani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Apple is partnering with Visa, Mastercard, and American Express to help make the next iPhone into an electronic wallet, Bloomberg reported Sunday. With the new feature, iPhone owners would be able...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Habari zenu wanajamvi, nahitaji kuconfigure server ambayo itakuwa inahudumia clients 5. Nninamaswali 2 naomba mwenye ujuzi nayo anisaidie tafadhali a) Naweza kuwa na network yangu inside public...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu, Mimi na ndugu yangu tumenunua Samsung Galaxy Note 3 Neo na tumekuwa tukizitumia ikiwa ni nimiezi 3 sasa. Hizi simu zina uwezo wa kubeba simcards 2, mimi natumia mtandao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji software kwa ajili ya ku-unlock au ku-bypass icloud account. Naomba mweye nayo au link anisaidie. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF naomba msaada jinsi ya kuifanya strong yangu irudi kuwa mpeg4 kwani sasa imekuwa mpeg2. Yaani nikitaka kuingiza bisskey inagoma pia neno option limepotea, na badala yake lipo neno OTA MENU...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Guys, nimedownlod fifa 14 updates files kutoka kwenye moja ya links humu JF but nimeshindwa kuitumia help plz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Nimelikoroga kwenye simu yangu nokia 110. Nimedelete kila kitu kwenye device. Najaribu kuupdate kupitia setting ya simu inagoma inaniambia, "no update provider found". Nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft begins to drop 2 GB file size limit for OneDrive Microsoft News By Sam Sabri, Monday, Sep 1, 2014 at...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Waungwana habari zenu, naomba utatuzi wa hii ishu nipo kwenye eneo lenye huduma ya 3G lakini simu tajwa hapo juu inasoma E (Edge) tu nifanyeje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi wetu tumekutana na hii kero ya matangazo(ads) pale tunapo browse internet, haya matangazo mda mwingine yanauzi sana maana wengine hatuyataki huenda kunyonya Mb za kwenye bando...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimeroot simu yangu tecno p5 na nataka ni-install hicho kitu but sijui maana yake :yo:
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Poleni na kazi wanajamvi, kama kuna aliyewahi kutumia Nokia C5-3 naomba msaada namna ya ku-install whatsapp . Nimekuwa nikitumia WhatsApp kwenye hii simu toka mwaka jana, sasa miezi miwili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wa haraka ndugu yenu strong yangu mpg4 4669xii nilikuwa naweka software mpya ghafla umeme umekatika na uriporudi naiwasha haiwaki. Naomba kwa anayejua anisaidie wana JF.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye Manual Book ya remote hiyo anisaidie natafuta codes zake. Aidha,, Je! remote hiyo inaweza fanya kazi kwenye QSat Q15G receiver?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wa ndugu wenzangu. Kheri ya siku ya leo, Lengo langu wa ndugu wa jamaa wenzangu ni kuomba msaada wa mwenye kujua maujanja au jinsi ya kuunganishwa na hawa jamaa wa [bein sports] maana wadau...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana naomba sikilizeni. Mimi naona tunnelguru na tigo ni mizinguo mno kwa sababu tigo ni mizinnguo. Sasa nimepata idea, mnaonaje watu watest tunnelguru kwa kutumia TTCL Broadband kwa kutumia PD...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wadau, huawei yangu upande wa playstore inanionesha kuna application zinataka update ila nikijaribu kuupdate inaniambia insuffient storage available na nikiingia manage application naona...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom