wadau poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Naombeni mnisaidie kujua simu bora zaidi kati ya samsung galaxy s4, huawei y300/y330, y511 na huawei g6 pamoja na tecno s9!
Aidha nisaidieni kujua bei...
Google Doubles Down On Productivity With ‘Google For Work' Rebrand
This morning at its San Francisco offices, Google announced a rebrand of its enterprise products, renaming the set of...
Apple's Two Factor Authentication Doesn't Protect iCloud Backups Or Photo Streams
One of the common bits of advice you'll see people giving you around this celebrity picture hack is to...
Apple Denies Any Breach Of Its Systems In Celebrity Photo Leak
Apple has released an official statement in response to accusations that its iCloud storage system might be somehow behind the...
Wadau salamu
Samahani ninashida na outlook -e-mail yangu zamani ilikuwa poa sana, gafla ikaanza kutoingiza e-mail kabisa, basi nikadelete e-mail zoote, shida iliyopo sasa ni kuwa e-mail mpya...
Wadau naombeni msaada, nina simu yangu Samsung galaxy pocket inastaki then sehemu niliyo touch ina andika contact stop au sms stop nifanyaje na shida nini
Msaada wapendwa mwenye kujua jinsi ya kutatua hilo tatizo la computer, kila nikijaribu kuiwasha inaniletea ujumbe huo
Sijajua tatizo nini Naomba msaada wenu.
Naona kama inachukua mda mrefu sana na kunipotezea mda PC inapowaka katika Safe Diagnotics Mode. Nifanyeje ili nikiwasha iwake kawaida? Ni iset vipi?
Thanks
Wakuu naomba kila mwenye uelewa aweke maneno hapa. Naomba kufahamu ni model gani ya TECNO smart phones ziko bomba sana (this shall not be limited to mobile phones). Kama wana IPAD, usisite tupia...
The most powerful 5.7' monster is about to hit the premiere.
Kesho ndo kesho katika IFA Berlin 2014 ambapo Samsung Galaxy Note 4 pamoja na Galaxy Gear S(SOLO) zitakuwa revealed na Samsung Mobile...
Wakuu yani nahisi kama naota jirani yangu kanunua receiver ya star gold na dish lake 170000 lakini channel anazopata duh! yaani kwa macho yangu kile kidishi kidogo channel zote za TZ hadi Clouds...
Kampuni matata ya kutengeneza vifaa vya electronic ambayo imejipatia umaarufu mkubwa kwa kuunda simu za iphone, ipad, ipod hata kompyuta na television, (apple) inatarajia kuiweka sokoni simu mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.