Nina pc compaq nikidownload sofware yoyote nikiinstall inanijibu hivi
windows cannot access the specified device,path,or file,you may not have the appropriate permissions to access the item hii...
1. Beats by Dre
The entire line is complete ----, especially for their ridiculous prices. Did you know that Beats Pro/detox that you saved over 500 dollars to get cost only 3 dollars to make...
Vital Signs, a monitoring system led by Conservation International (CI), is co-hosting an event on Monday, at the African Green Revolution Forum (AGRF).
During the meeting, Tanzanias Ministry of...
maneno haya yananipa tabu sana hivyo ni vema nikipewa ufafanuzi zaidi wa kueleweshwa
HTML: Content a markup language
CSS: Display a markup language
JavaScript: Behaviour a programming...
Wakuu habar.
Natumia modem ya ZTE MF 190 Ya airtell. Baada ya kuichakachua kwa kutumia Dc unlocker nimetumia kama mwezi tu. Leo ghafla imegoma haisomi sim card.
Msaada wakuu
DRP 13.0 inaweza kuchagua na kufunga(install) dereva(drivers) sahihi kwa ajili ya kompyuta yako pasipo kutegemea internet bali moja kwa moja kutoka katika HDD / flash / DVD.
DRP 13.0 moja kwa...
Kama una laptop yenye tatizo hili ukiwasha laptop screen haionyeshi kitu ila inatoa tu mlio wa kubeep basi kabla hujaenda kwa fundi jaribu hii process ambayo nmwefanikiwa kuitumia kwenye laptop ya...
Wadau,
Nimenunua betri N40 Chloride Exide made in Kenya, swali langu ni pale nikishajaza maji (acid) yanayotakiwa mle katika level inayotakiwa nakuiweka juani kwa muda, Je:
1) Niifunge kwenye...
Nasubiria kwa hamu kubwa king'amuzi cha continetal, naomba mwenye uelewa kuhusiana na king'amuzi hicho na je mbeya kinafika lini na je knaweza kufika Rungwe hadi kyela? malipo yake yapoje na...
Nina simu ya imegoma kuwaka. Simu hii alikuwa anatumia mtu. Sasa kuichukua nikai-format. Sasa ndo imegoma kuwaka. Inawaka ila haimalizi. Inaishia ktk ivon ya apple tu. Msaada wenu tafadhali
Nataka Mozilla Firefox iwe Start page (ili kila ninapofungua ianzie hapo na kunionesha baadhi ya Window vidirisha nilivyoviifungua
ilinipotea baada ya kudownload game ikaja Ask Home Page...
*Wale watu wa magroup whatsapp wametuletea kitu kingine kimpya yaani MUTE group for YEAR kama tulivyozoea hizi za WEEK basi utakuwa huna haja tena kurudia kuweka Mute kila baada ya wiki.. Check...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.