Simu yangu ya Nokia Lumia, imejizima ghafla kila nikiiwasha haiwaki na badala yake inanijibu ERROR: UNABLE TO FIND A BOOTABLE OPTION.PRESS ANY KEY TO SHUT DOWN
Please naomba msaada kwa mwenye...
Wakuu nina flash yangu haiwezi kufanya chochote kudelte files,kuadded files even hata kuformat kwa kutumia comand lines inaniaandikia the disk is write protected,mwenye idea wakuu ya jinsi ya...
Habari zenu wakuu. Mpaka wiki hii nilikuwa sijawahi tumia Microsoft windows 8 operating system.
Nimeiweka kwenye laptop yangu kwa muda wa wiki moja, ila nimeitoa na kurudi Windows 7 altimate...
1.Model number Huaweiy210-0100
2.Android version 2.3.6
3.Baseband version 109808
4.kernel version 2.6.38.6perf android@localhost#1
5.Buld number y210-0100v100R001V00B839
6.Custc c388D001
Msaada...
Nimekuwa na uzoefu wa muda mrefu katika kuzijua Simu fake na Genuine. Ila Samsung galaxy NOTE II Gt_7108 Imentoa jasho, kila kitu unachojua kuhusiana na Original inacho
Msaada kama kuna unachojua...
Members JF
SIMU YANGU YA SAMSUNG GALAXY TAB 7.0 IMEFUNGWA NA MTOTO WANGU ALIYEKUWA AKICHEZEA KWENYE SECURITY PATTERN. INAONEKANA KAMA ALIINGIZA GMAIL ADDRESS AMBAYO HAIKUMBUKI NA WALA HAKUMBUKI...
Simu yangu, Samsung galaxy 7.0 tab imefungwa baada ya mtoto wangu kuchezea security pattern. Anadai aliingiza gmail address ambayo haikumbuki na aina fulani ya pass word (nayo hakumbuki). Kila...
Salaam Wandugu.
Je kama naishi nje ya Zambia, nawezaje kununua Zambian local domain eg. zaleo.co.zm? kama sio RESIDENT kwa sasa. Natanguliza shukurani.
Rakey.
rakeyescarl@yahoo.ie (not.COM)
Salamu wadau,
Ninataka kununua laptop zinazotumia Google OS (Chromebooks) hapa Dar, sichagui brand kwa sasa; iwe Samsung, Asus, Toshiba au 'manufacturer' mwingine yoyote yule... cha msingi kujua...
Wadau nisaidieni simu yangu aina ya tecno p5 inapoteza network nikienda kijijini.Nikiwa mjini ina access vizuri lakini kijijini haikamati kabisa.Tumejaribu kuset network system lakini wapi.Simu ni...
Habari zenu wana JF,naomba mnifahamishe kwa anayefahamu mahali ambapo naweza pata network ya "Wi-Fi" kwa hapa dar,napia utaratibu wake wakutumia ukoje?...itakuwa vizuri zaidi kama utanipa na codes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.