mwanzon haikuwa hvo.na pia apps ninazo install kama whatsapp hazitokei kwenye display (shotcut) ila ukienda file manager unaziona ila huwezi kutumia.ukiiclick kuna option ya uninstall tu
Poleni na majukumu ya kila siku, naomba msaada wa ku unlock avg ant theft kwenye simu yangu.
Niliweka hii program muda mrefu kidogo, Leo nimejisahau nikabadili line ya simu ikajilock, Nimejaribu...
Habari yetu wana jamvi (mughonile mwe bhakamu bhangu, twamasiku ming). Tusisumbukie lugha hiyo lugha niipendayo kinyakyusa nikijaribu kuwajulia hali.
Leo nimekuja na maada ningependa tuifanyie...
mi binafsi nikiinstall windows hii ndo list ya apps and softs zangu
1.avast antivirus
2.bit torent au u torents(kwa kudownload torrent)
3.bsplayer(kuchek movie,uzuri wake ukiplay movie isiyo na...
Kuna simu ya android aina ya vinus v8. Simu hii ilikuwa imefungwa kwa pattern kuna mtu alichora mara nyingi wakati hajui mwenyewe alifunga kwa mchoro gani, matokeo yake simu ikajifunga ikawa...
Wadau salamu, natafuta chaja na mp3 player kw ajili ya kutumia kwenye gari,nimekuwa nanunua hizi za barabarani zinakufa baada ya week tu. Mwenye kujua duka au anaeuza tafadhali nijulishe.,
Heshima kwenu wana jamvi. Naomba msaada kwa mwana jamvi yoyote anayeifahamu kwa undani simu ya Maxwest z5. Je! ni simu nzuri in general ?.
kweli ikiwa mpya kwenye box inaweza fika 950,000 pesa za...
habarini wakuu
a) Msaada naomba kusaidiwa ni namna gani naweza kuunganisha internet katika computer zaidi ya 20, je kuna njia ipi mbadala itakayorahisisha jambo hili ? kwani nataka kufungua...
Jamani nifanyaje ili niweze kusoma gazeti la the sun la uk bila kulipia mtandaoni? na limiss sana tangu walipo anzisha mtindo wa kulipia.msaada jamani mwenye utaalam wa kuchakachua.
nimeanza kutumia facebook na mitandao mengine mingi ya kijamii kama vile instagram, hi5, mocospace etc kipindi sasa. ila tatizo linakuja wakat nataka kutumia mtandao wa twitter, huwa sina mzuka...
Habari wadau, nahitaji msaada wa marekebisho ya brightness katika laptop HP.
Nimejalibu kila njia, mwanga haupungui japokuwa mshale wa kupunguza na kuongeza unatembea lakni mwanga haupungui...
Je kuna software ya kunisaidia wakati wa ku shoot live nitumie zaidi ya camera moja na hizi camera niziconnect kwenye PC ambayo ndio itakuwa na hiyo software and then hiyo projector nii connect...
Pole na majukumu wana JF,
Namini msada wenu kwangu Ni mkubwa sana na nitaendea Kuuthamini Nahitaji kuhifunza Kuroot,software nk Niko tayari kumfuata popote alipo kwa zanzibar hata iki bidi...
Nina Computer ana ya Dell yenye window xp ilikuwa na kespersky 2013 nikaunstall il niweke kespesky 2014 kila nikijaribu kuinstall inaniletea sms hii " error occured during installation of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.