Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Na kama tayari zinauzwa kiasi gani.naomba kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtoto aliipiga kibao, Tv ikajizima haijawaka tena. shida inaweza kuwa nini? Msaada ndugu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimejaribu na zinatoka lock, nina muda mrefgu sijatembelea JF nilikuwa analogia wadau sijui kuna solution mmeshaweka ama niiweke maana nijije nikawa narudia ambacho kimesha fanywa
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello wapendwa, kuna ndugu yangu mmoja alinunua simu kariakoo yenye thamani ya 240,000 nokia lumia akapewa guarantee ya miezi 6 alipofika nyumbani akaicharg ikawa haijai kabisa zaid ya masaa3...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za sahizi wana JF hapa ninapoishi tupo watu wa nne na kila mtu anamatumizi ya kawaida tu i.e taa fridge na subwoofer Lakini cha ajabu umeme wa 20000 unatumika siku nne tu tatizo linaweza...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
simu yangu inanisumbua sijui tatizo maana nikitumia pen inafanya kazi vizur lkn nikijaribu kutumia hands haifanyi kazi kiboard. Msaada please maana hata msg siwez andika.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu ku configure SMS Gateway hii HAPA kwenye android phone yangu ili niweze ku forward sms kwenda kwenye webservice ya application yangu (web based application) Nimejaribu kutuma sms...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu inawaka na kutumika inatumika ila ukienda menu inaandika The aplication samsung home (process com.sec.android.app.twlauncher) has stopped unexpectedly. please try again. msaada wakuu
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Habari ma-GT wote wa jukwaa hili pendwa? Hope mko safi, ipo hivi: kuna simu nimeletewa from US aina ya Samsung Prevail ya virgin. Sasa katika kutaka kuweka line nikaona haina sehemu ya line...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Greetings my fellow people I am anonymous.. and hereby releasing my latest tool as stated in the title.. Tigo package hack v 1.0... this has been coded by me and it is working like a charm...
5 Reactions
26 Replies
20K Views
Baada ya kuchoshwa na mshike mshike wa foleni natarajia nijikabe mhindi akinipa mshahara wangu mwisho wa mwezi nione kama nikijichanga changa naweza nikanunua angalau Boxa. Sina utaalamu wowote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani msaada tablet yangu inabagua lain , yaani inasoma Lain ya tigo tu ukiweka lain nyingine haisomi Masada wadau....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau natumia Alcatel tajwa hapo juu. Battery yake ni ya 1500mAh. Je naweza kupata battery yenye mAh kubwa kuanzia 2000 na kuendelea? Maana ya kwangu nikiwasha internet hata saa 12 haziishi. Ila...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Habari zenu Naombeni msaada wa jinsi ya ku unlock android phone pasipo kutumia gmail account
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana wanajamii naomba msaada kwa yeyote anaejua duka linalouza sensor aina zote jijini Dar es salaam anijuze kwani nazihitaji sana.. Asanteni kwa ushirikiano
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kompyuta yangu ni windows 7 professional. Mojawapo ya majukwaa ninyopendelea sana ni Jamii Photos. Inatokea nataka kuweka avatar ya mdau kwenye jamii photos. Ninachofanya ni kuisave hiyo avatar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mim ni mdau na mteja wa mda mrefu wa huduma za DSTV , lakini kwa muda wa kama miezi mi3 iliyopita uchumi wangu umeyumba mpaka nafikiria kutafuta njia mbadala ya kuuza king'amuzi au...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam, Natumia Galaxy Note 2, siku za karibuni imeanza kuji-restart kila nikiwasha, inashia kwenye logo tu. Msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamvi? kama kichwa habari kinavyojieleza, najua kuwa kuna watu wa taaluma na exposure tofauti za OS mbali mbali. Concern yangu kubwa kwenye hii posti ni kutaka kujua upatikanaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom