Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini za muda huu wadau ............ Jana nilikua nimeenda kwnye office moja posta kwenye jengo moja refuuuu! nilikua naenda gorofa kama ya 12 hivi. nilifika offisini vizuri nakufanya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
A USA standard TV screen with a built in High Definition support (DMI port) will work with any cable TV service in Tanzania that transmit HD signal. You don't need to use a PAL to NTSC video...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, nina hard disk ambayo ilidondoka ila kuanzia hapo nikiweka kwenye computer inahitaji kuformat na ukiangalia file system imekuwa "raw" badala ya ntsf/fat, kuna msaada naweza kupata ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokna na simu nyingi kukosa OTA UPDATE u can update ur android by flashing custom roms to ur phone. Most of famous custom rom include 1.cyanogen mod Ambyo n maarufu na ss hv wanatoa update...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Habari wadau, kuna jamaa yangu mmoja aliniomba nimsaidie blogu yake kwamba mtu akiandika comments huwa hazionekani, hivyo alitaka nimsaidie kurekebisha nami kadhalika nimeshindwa kwa kuwa sijajua...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Habari za mchana wakubwa naomben msaada kwenye Samsung tablet....nataka ku switch internet iwe on nafanyaje!kazi njema wakubwa!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nategemea kupata galaxy s4 mpya hivi karibuni ila nitawezaje kuitofautisha na zile clone naomba kusaidiwa tofauti zake ukiachilia bei tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile...
0 Reactions
20 Replies
29K Views
Ukiwa Handeni internet yenye kasi ya 3G inapatikana kupitia mtandao wa Tigo. Kwa karibu mwezi mzima internet ya Tigo imekuwa na kasi ndogo sana inapofika kipindi cha mchana. Wakati mwingine hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ilivyo kwa siku hizi ambapo kila mtu anataka awe na simu latest, hali ilikua hivyo hivyo miaka ya 2000 ambapo simu ndio kwaanza zilikua zinaingia. Zifuatazo ni simu ambazo zilikua maarufu...
18 Reactions
55 Replies
18K Views
Remonte control yangu ya qsat imegoma kufanya kazi na betries nimebadilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habar? nahitaji ku recover picha ambazo ziliseviwa kwenye CD. Data zingine zipo isipokua hizo piccha, zilifutika baada ya miezi kama tisa hiv. Nahitaji msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Wadau naombeni Msaada nashindwa jinsi ya kutumia wireless kutoka katika iphone4 kuja katika PC ya window
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Nataka kujua namna ya kuunganisha namba ya mtu ukawa unapata notfication wakati anapigiwa na mtu mwingine! Ebu mwenye kujua anambie unaiconect vip. "AHSANTENI"
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Budget yangu ndo hiyo nahitaji simu isiwe blackberry nataka kuhamia android na si lazima iwe mpya hata used iliyo ktk hali nzuri japo mpya ingenifaa zaidi. Mawazo na ushauri...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
NIMEHARIBIWA PC YANG,,INAGOMA KURUDISHA WINDOW YAKE!! JE HARD DISK INAHSIANA NA HILI tAtIZO?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dada yangu ana flash yake, aina ya sony 2GB. Akitaka kusave fike kwenye flash anaambiwa flash imewekewa write protection labda aondoe hiyo write protection. Ila ana mafile yapo kwenye flash...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi kuna umuhimu wa kuweka screen guard katika Samsung tablets na phones?naona properties zinazotajwa katika simu hizo kama vile ni madhubuti zaidi kuliko kuweka hizo protector na kuongeza gharama!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I have a HD which i did not use for some after the motherbord of my DESKTOP collapse, now i want to use it as the external drive but it is asking for the admin password and i do not remember it at...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
sababu ni invalid click,nfanye nini nahitaji tena adsense maana hapa nmechanganyikiwa kulikuwa na pesa ndefu mno,nmeappael wamereject.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom