Poleni na kazi JF Naomba msada wenu Hii kitu kinasumbua IDM wanataka registration Lakini tatizo liko kwenye serial number Naomba msada wa hizo
serial nambar Natoashukrani
Habari wanajukwaa hili pendwa?
Ndugu zangu naomba kujua app ya kutafsiri majina inaitwaje na inapatikana playstore?
Niliona kwenye maonyesho ya nanenane dada mmoja unataja jina kisha anasachi...
Najua hapa kuna wataalam wa aina mbalimbali.. Ningependa kujua au kueleweshwa kwenye hili swala la Mars Retrograde.
Nimesoma kwenye Google lakini naona kama lugha inakuwa ngumu kidogo. "Hili...
Hellow ndugu zangu, mdogo wangu kaniletea simu yake mpya hivi simu za WINDOWS PHONE nimsaidie kumuwekea whatsapp, viber etc.
Sasa kila napoidownload inaniletea maandishi haya THIS APP IS NOT...
Nimeona topic nyingi sana zinazungumzia faida za kuroot simu, so nikaingia google na kutafuta software nzuri ya kuroot simu nikaona wengi wanaizungumzia VROOT leo nmeidownload na nikafata...
computer yangu tangu leo imepoteza button ya back na forwad zile ambazo kukaa upande wa juu kushoto
hata rangi ya computer imepotea na kuwa nyeupe,
lakini ukitembeza mouse hizo button...
Habari wana Jamii Forum.Simu yangu ilipotea kama wiki mbiki zilizopita.Nikaiswap kurudisha line yangu iliyopotea ya Aitel.Sass nikiitumia katika masuala ya Internet katika simu inachukua muda...
Wakuu, simu yangu(Samsung galaxy S5) inatatizo la kushindwa kuconnect wireless inaandika ''avoided poor internet connection'' mwenye ufaham na hili msaada tafadhari.
Wadau nilikuwa nataka kujua kuna tofauti gani kati ya hayo mafuta hapo juu?
mimi najua yote ni petrol sasa kwanini kuwe na tofauti ya majina kihivyo sifa zipi na nini huwa kinatofautisha kati...
Kila ikifika saa 6 mchana picha zinaganda au kuna kuwa na scratching nyingi. Then ikifika 12-1 jioni inarudi katika hali ya kawaida. Mwanzo nilifikiri ni kwangu tu, nikakutana na watu watatu wenye...
Habari JF.
Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Wakuu naombeni msaada!
natumia firefox 31 na kila nikijaribu kulocate a place kwenye google map siioni ile marker ya kulocate nimeitafuta sana ila siioni na sijaelewa kwa nini siioni!
kila kitu...
Only what I see is please can i get so an so software? Your avator is interesting, Yesterday I ate ugali. "IT based discussion". Do you use Jf tech forum properly? :sad:
Wakati naperuzi website zenye frequency nimekutana na website, nilipoingia kwenye satellite yenye channel za kibongo nikakuta frequency za ATN na UBC na zinginezo. Tatizo ni kwamba nikiziweka hizi...
Naomba mwenye link au mwenye kujua jinsi ya kuuzipata
1. Ant-theft
2, ni ile ya kupata notification ya kutoka simu nyingine kuhusu sms anazotumiwa au mtu anayempigia mara kwa mara
asanteni
SECURITY MASTER CIRCUIT
Hii ni Design yangu nyingine(home made circuit) ambayo ni mwendelezo wa ile sakiti ya Security,safari hii nime-design ili iwe na uwezo wa kufanya kazi tofauti...
Wadau amani kwenu,
Mimi najuwa kufanya screeshort kwa kutumia pc nimejaribu kwenye smartphone yangu galaxy grand naona chenga tu kuna kitu nataka kufanya screenshot nilete kushare hapa JF...
Wakuu, Simu yangu samsung i9300 (kwa mujibu wa back label & cover), sikuwahi kujua ni galaxy ngapi, but kila nikisearch online naletewa galaxy s3 (if am not mistaken) Tatizo ni kwamba imepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.