Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
namna gan naweza ku uptodate graphic driver kwa pc!!msaada wenu jamani
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, nawaomba sana kwa yeyote anaejua tatizo hili anisaidie. Juzi nililala na kuiacha Laptop yang ikidownload movies, nimeamka asubuhi jana naikuta ikiwa on but screen ikiwa black...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina simu aina ya NOKIA XL, awali ilikuwa inaoperate watsapp vizur, lakini ilipo expire ikawa tatzo niki instal watsapp naambiwa ''Deviece not supported'' What can I do wataalam, msaada plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa wakuu, nina flash ya toshiba 8GB kwenye pc yangu W7 32bit nikichomeka haionekani, nikihamisha kwenye computer ya jamaa 64bit inaonekana. Naomba kama kuna uwezekano wa kusoma...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
natumia galaxy tab 2, bahati mbaya kuna vitu nlivifuta zikiwemo picha, video na documents, sasa je kuna application yeyote au namna ya kuweza kuvirejesha vile vtu vyangu vilivyopotea? asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda si mrefu kampuni ya Samsung imetangaza ingizo jipya katika smartphone za galaxy, Galaxy Alpha! Ni simu nyembamba mno (6.7mm) na ina mwonekano mzuri sana. Tofauti na Galaxy S5 specifications...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu,mara kwa mara nimekuwa nikidownload application ya whatsapp kwenye simu yangu ya nokia C2-05 inakubali ila mara tu napoifungua inafail na inasomeka application failed,msaada wenu wakuu kama...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna kitu nataka kuwaletea humu ni balaa,naomba mnielekeze jinsi ya kuweka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu nawezaje kufahamu kama simu inasupport whatsapp kwa kuangalia speciffication za simu kwa gsm arena?
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Nataka Kununua Laptop Mwez Huu, Je Ninunue Yenye Specification Gani? Mimi Ni Mpenz Wa Magemu Na Budget Yangu Ni Laki Tano, Tafadhali Naomba Ushauri. Nitainunua Mwanza.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau. Nina mpenzi wangu ambaye saiz simuelewi elewi hivyo naomba kama kuna mdau mwenye ujuzi wa hii kitu aniconnectie namba ya huyo mpenzi wangu ili niweze kupata message zinazoingia...
0 Reactions
19 Replies
52K Views
Naandika post hii nikiwa kama majeruhi na muhanga baada ya vibaka kukwapua LG yangu, Kinacho niuma niliweka app nzuri tu ya kutrack kimeo changu lakini inaonekana mwizi wangu alifanya factory...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kwa wale affiliates wa mambo ya electronics .... naombeni kushare na nyinyi software inayoitwa YENKA ambayo ina weza ku simulate electronic circuits na kuzitest kama zinafanya kazi au hazitafanya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari,tafadhali naomba msaada wale watumiaji wa tg toka nimebadili v2.8.1 napata msg hii wakati wakutaka kukonect
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio niliyonayo na ninayoitumia katika s40, apart from option ya ku'delete, ina option ya ku'archive chat. Ninachouliza, niki'archive chat, nai'retrieve vp wakati hakuna sehemu inayoelekeza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Encryption tools exist to protect your privacy… and also to make you feel like you’re an awesome spy. Today we’ll use a portable USB drive to hold all of your passwords encrypted in a virtual disk...
2 Reactions
1 Replies
990 Views
Jamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hi wanateknolojia, mi natumia macbook air 13'.. sasa tatizo langu ni kuwa ninapo click kwenye facebook yani hapo juu, facebook haiji ila zingine zote zilizopo hapo juu zinakuja, tatizo inaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nilitaka kudownload instagram kutumia ovistore nilipata majibu hayo hapo juu sasa naomba mwenye kuelewa asante
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom