Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina galaxy pocket original nimeitumia muda mrefu lakin ina kawaida ya kukwama kwa vipind katika upande wa kuandika msg na kupiga, kuna wakat inabid niandike msg kwa copy and paste. nimejaribu...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Salaam wana Jf, naomba kufahamishwa kukhusu hii kitu, kila nifunguapo PC yangu napata ujumbe huu "WINDOW HAS DETECTED AN IP ADDRESS CONFLICT another person in this network has the same IP address...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za jioni Naomba msaada nataka kudownlod Dropbox kwenye pc Mwenye link ya dropbox anisaidie Natanguliza shukrani kwenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za mudahu wana JF. Natumia pc lkn chakushangaza kuanzi juzi imenza kuleta shida, Nimejaribu kulitatua mwenyewe lakin imeshindikana sasa naomba msada wenu Nikichomeka flash kwenye pc...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimekutana na hii kitu mara nyingi hasa kwenye showrooms unaambiwa gari hii ni cylinder 4 ile cylinder 6 na kadhalika. Kwangu ni kizungumkuti, naomba kufahamishwa jinsi ya kutambua kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani wadau, kwa mtu anayeelewa kuhusu GSM kulink na database au GSM peke yake plz nisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Some one help me, I have this phone, it supports two sim cards but the one can support 3g network is limited to tigo, but im not a tigo funny when comes to internet services, I wish to unlock so...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni hatua chache tu za kufanya 1:fungua YouTube 2: search video unayotaka 3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube............. 4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo...
15 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program, nimejaribu kudownload lakini ckufanikiwa. naomba sana msaada kutoja kwenu niweze kupata hii kitu. may God bless yhu all!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wajumbe. Nimeweka window 8 kwenye PC yangu but kila wakati inaniletea notification ikinitaka ni update " go to setting and update window" nishafanya hivyo mara nyingi lakini tatizo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Microsoft has announced plans to launch a new feature phone, the Nokia 130, later this quarter, but the phone could the the last such device the company releases as it moves forward with the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumia desktop hp 60 HDD, 1GB RAM WINDOWS 7 32bits, tatizo nikifungua faili lolote ndani kuna shortcut yenye jina la faili hilo. Kwa mfano nimefungua faili lenye jina "KAZI" ndani yake utakuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
samahani wadau mwenye uelewa namna gani nifungue opera mini anisaidie kwani weekend hii ilianza kugoma kufunguka sijui tatizo. Nimejaribu kuupdate lakini nikifungua haifunguki tafadhari wadau...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nawasalimu! Tyt raum new model, imekuja na radio ambayo ipo kwa pamoja na tv, kilichojitokeza ni kwamba nimeshindwa kuitumia, haipigi cd wala dvd, haishiki fm station yoyote na haitoi sauti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada jamani kuweka programm ya mobile attack kwenye sumsang galaxy s4. ....
0 Reactions
0 Replies
738 Views
habari zenu? natumai mu wazima. pc yangu ina tatizo kwenye keyboard, nikiwa na type herufi baadhi hazikubali, ila kuna mda zina kubali na mda mwingine zina kataa. naombeni msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hey guys, this is for those who like learning stuff. I wrote an article as a guest blogger on oh how to teleport elements to unusual places using media queries + a jQuery plugin, I included all...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
wadau nimekumbwa namajanga kwenye memory card zile kubwa ambazo huwazinakuwa kwenye digital camera sasa mm yakwangu niyakwenye diagnosis machiney. hiyo memory card kwapembeni kuna kama kijiswitch...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini! ni simu gani yaweza kuwa nzuri kwa budget ya laki 2, kwa vigezo vya memory, camera, processor speed, ubora nk.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada husika hapo juu...ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Back
Top Bottom