Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni wazi kabisa tunatofautiana matumiza ya internet kuna wale ambao ni heavy internet users hawa wana matumizi makubwa sana kiasi kwamba wengine hata kwa mwezi wanafkisha gb zaidi ya 100 ili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nina simu anina ya sony xperia ...ambayo natumia kuangalia emails(Gmail) mara kwa mara....Lakini leo nimeamua kutumia PC ili niweze kujibu kwa kirefu email moja muhimu ambayo ilitumwa 29/06/2014...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Habari wana Jamiiforums, nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Wana JF habr zenu, mie leo nashda moja, kuna laptop ninayo ila haina partition yan nikipga window chin kila kitu kinapotea, Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau. Naomba msaada kwa watalam wa simu,nina simu aina ya samsung galax GT-B5512, tatizo lake ni kuwa imekata internet na kila napo fanya setting za vpn inagoma kuconnect mara tu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia? Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu,ninahitaji msaada wenu ninatumia Tab ya kichina line mbili inasumbua hasa ninapotaka kupata ama kujua salio inaniletea maandishi mengi yasio eleweka,hivyo inaniwia vigumu kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ninatumia pc aina ya dell na niifungua battery kuna sehemu ya ku_insert sim card,naomba nijulishwe namna ya kutumia maana niliiweka na kuwasha pc lakini sikuona notification yoyote.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kutumia WhatsApp kwenye laptop yangu lakini nimekutana na changamoto kadhaa, hivyo na naomba mawazo ya ziada kutoka kwenu wadau. Hatua nilizo fanya ni hizi hapa; Nime-download...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE...
0 Reactions
2 Replies
21K Views
Habari wanaJF, Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery. Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu leo nimeiwasha simu yangu Tecno p5 halafu nikakutana na hiyo miujiza, inaniambia ni format memory yangu wakati nina vitu vyangu vya muhimu mno!! Wakuu naombeni alternative way ya kuactivate...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wassapp is a Low Level Studio’s unofficial client of WhatsApp. It works for almost all prevailing Windows OS just like the BlueStack Android emulator. The only reason I see that you may choose...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba msaada simu yangu ukitumq sms mara moja zinaendelea kuingia zaid ya mara moja. nimejaribu kuristore lakin tatizo likawa lile lile. nifanyeje wadau nisaidieni please
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, nina 195,000/- na nina mpango wa kununua simu, inayokaa line moja, na ambayo haibagui aina ya simcard, na nzuri, yenye wats up, speed nzur kwenye browsing, na haisumbui. Naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
How can I restore nokia X....?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamii. Hii tablet ilikuwa ina-run very smooth. Lakini sasa ina tabia si yakawaida. Nikiwa na-surf kwenye internet, ghafla inarudi home screen. Ukifungua browser, inarudi kwenye page...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba elimu kuhusu jinsi ya kununua bidhaa kutoka ebay au amazon na kuzipokea hapa bongo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
lumia 720 na 820 zinauzwa tsh ngapi ?
0 Reactions
3 Replies
811 Views
Back
Top Bottom