Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Heshima kwenu wanajamvi! Nilitaka ku-unlock app ya fotmob ili kuwa premier. Nimeclick hatua za mwanzo mpaka ilipofikia ikaniomba namba zangu za credit card nikaweka. Baada ya zoezi hilo ikaweka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipo serias wakuu,kwa kweli binti ananisumbua kupita kiasi,usiku nimepata tabu sana,naombeni msaada wa jinsi ya kumfungia kwenye simu anaweza chachafya ndoa yangu huyu.Simu yangu ni Nokia...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi wa vitu hivi lakini sina uwezo wa kununua madude haya. Naomba mwenye link ya english movies anirushie hapa. Natanguliza asante.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program. nimejaribu kuidowload sikufanikiwa, naomba msaada kutoka kwenu jinsi yakuipata. May God bless yhu all
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninashida na hii program nimejaribu kuidownload lakini sikufanikiwa, naomba msaada jinsi yakuweza kuipata kiurahisi.
0 Reactions
0 Replies
619 Views
wakuu naombeni msaada kwa hapo nina monitor ya hp 24,6 ina DVI input only nawezaje kuitumia kama TV bila PC.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wataalamu wa mambo ya digital. Masalaam kwenu sana na katika mambo haya ya digital kila siku msaada unahitajika,maana hakuna aliyezaliwa akawa anajua,lazima alipewa ufahamu. Sasa ndugu zangu...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Habari zenu wadau,tatizo la SYSTEM ERROR E100 kutokea kwenye photocopy machine IR 1600 inasababishwa na nini na jinsi gani naweza kulisolve ,naomba kufahamishwa zaidi kwa wenye ujuzi kuhusu hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Check out these fun International Space Station (ISS) facts: Enjoy a range of interesting facts about the International Space Station, how many astronauts have been to the station, how big the...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
wakuu black bery yangu imezingua ukiiwash inleta vijimaneno operting system error nimewapelekea msfund usb. cable haisomi nifanyeje
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Nna ndugu yang ana iPhone5 ya dark market akiiwasha inamdai email na password, amehangaika nayo sana bila mafanikio mwenye kujua anisaidie wakuu! naamin humu kuna wataalam wa kila aina...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu salaam! Simu yangu tajwa hapo juu imekata sauti upande WA videos na music. Upande WA simu za kawaida hakuna shida. Naongeza na kupunguza sauti vema. Mwenye ujuzi anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza nimshukuru kwa kutuweka hai, ndugu zangu leo naomba tena msaada wenu. mnijuze maana halisi navitu vinavyo pelekea kutofautisha kati ya Kb na Mb nauliza haya kutokana nakitu nilicho kua...
0 Reactions
31 Replies
14K Views
Jman jinsi ya kupata visa na paspot kwa ajil ya kwenda nchi za watu na je kukata hvo vitu wanataka hela
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Wakuu Salam kwenu Kwa anae fahamu! msaada tafadhali nataka kujua jinsi ya kujua Location ya mtu ambae nina number yake bila ridhaa yake Kwa kifupi tu nikuwa nahisi Demu wangu yupo MCHEPUKONI...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu! Natumia simu aina ya Tecno M3,nilikuwa natumia whatsap muda mrefu lakini hivi karibuni nikatakiwa ni update version niliyokuwa naitumia maana ilikuwa too old...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
site hiyo hapo Movieszhub4u | Download Movies,Games,Sotwares in Very Highly compressed Size - Download Full Movies in Highly Compressed Size,Download Games ,Free Download Movies,Free Download HD...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Aliyewahi kufanikiwa kutoa lock kwenye Huawei e173 modem ya airtel yenye imei 86series.. nimejaribu kwa kutumia huawei flasher bado inazingua.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimekuta notes kwenye taasisi moja " these premises are monitored by CCTV" msaada cctv ndo nini
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Back
Top Bottom