wanajamvi leo ndio nimeona utofauti wa nguvu kati ya ic tajwa hapo juu.
Tukianza na F4558
hii op amp ni ya kawaida kwa maana haina saut sana kama utaitumia
na 4558jrc hii op amp ina saut...
Habari zenu wanajamvi?
Ninayo projector NEC VT695 ambapo nikiinganisha na kisimbusi inaonesha picha B&W.
Nikiiunganisha na PC inaonesha picha colored.
Naomba mwenye kujua tatizo au ninapokosea...
Wadau wa teknolojia.. napenda kujua nini kinachokwamisha kwa tv stations zetu za ndani kuja kwenye mfumo wa HD??
JE ni gharama kuja kwwnye mfumo huu??
Sisi tumeitikia kwa nguvu na kununua...
jamani naombwa kujuzwa kama kuna app yoyote ile ya android itakayoniwezesha kupanga namba zilizo changanywa ktk mtiririko maalum mfano namba zimechanganywa hivi 9,6,4,3,2,1, nikiwa na hiyo app...
Nahitaji kununua internal hdd ya pc yangu imezingua hdd inakataa kuingia win yeyote baada ya kucrash.Ni Toshiba sat c850 f22u.NAOMBEN USHAURI NI HDD IP NZUR KUNUNUA.
Habarini.
Nina tatizo na laptop yangu. Nilikuwa na-install program Fulani katika laptop yangu ya HP G62. Katika kui-restart ikawa inachukua zaidi ya dk 20. Yaani iliganda, hivyo nikajaribu...
Jamani nashindwa kurecover data kutoka kwenye hard disc ya laptop yangu. kila nikijaribu kufungua inasema DO YOU NEED TO FORMAT YOUR HARD DISK? naomben msaada kama kuna namna yeyote ya kupata data...
Wajuzi wa mambo, nimekwama nahitaji kuflash Samsung note 1 na stock rom ila sifahamu ni firmware ya region gani inafaa, simu haiwaki mpaka mwisho kwa hiyo siwezi access hata dialer ili niingize...
Wakuu nimewatafutia madesa kidogo yahusuyo umuhimu wa backup. Mniwie radhi kwa kuto pata muda wa kutafsiri hiyo lugha ya kimombo. Nawasihi msijisikie uvivu ku google kwamba mtafanya kwa jinsi ipi...
Wadau katika blackberry bold 2 9900 naomba kujua kama ina support firefox.......nipeni maujanja wadau.naomba kuwasilisha.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hi technology ppl
I found this online tech magazine wich has hard hitting and up to date tech news.
DailyTech.
Please share with member wich websites do you visit to get informed on...
Hii cm cjui ina tatizo gani kuna muda inapata joto sana au inashake maandishi mpaka utoe betri na uwashw ndio inawaka tena shida onaweza chilua hata dakika 30 .tatizo nini wataalam naomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.