Hello guys
I used to visit http://www.bongoclantz.com website for local news and gossips. but for a week now, the site has completely changed from its contents to theme. Is the site hacked? some...
Nahitaji akaunti kwa ajili ya matumizi ya kibiashara, ni vizuri ikiwa na transaction history (hasa iwe imepokea pesa nyingi), iwe verified. Tunaweza kuongea uniuzie uondoe card yako uliyoattach...
Habari wakuu,computer yangu aina ya Hp Probook 6455b imeharibika chanzo ni adapter iliungua nikabadilisha baada ya ku2mia adapter ingine PC iligoma kupeleka moto nikajaribu kutoa betri bt soon...
Habar wadau, naomba kufaham hii app ya clean master inatumikaje na ni ya nn kwenye simu? Mara nyingi nkiwa natumia mtandao nakutana na ujumbe kama simu yangu inakata chaji haraka bas nidownload...
Habari wandugu!?
Binafsi nimekuwa na kawaida ya kupoteza simu mara kwa mara kutokana na mfumo mzima wa shughuli zangu na kusahau sahau ovyo.
Hivyo ningeomba kama kina mtu anafahamu apps yeyote...
wanajamvi najua humu kuna wataalamu wa PCM na mambo mbalimbali. swali langu ni kwamba namba za viatu zinafanyiwa calculations vipi ? kiasi kwamba mfano namba 43 ni sawa na namba 9.
nimejaribu...
Ndugu wana JF nimeipata hii kutoka kwa rafiki yangu nimeona ni vema ku-share nanyi, na hasa wale wenye interest na mambo haya karibuni.
Take time in the evening on 1st August and 6th August to...
Wakuu nimekuwa nikijaribu kurekodi vipindi kutoka kwenye dekoda lakini inakuja
kwa mfumo wa PVR FORMAT, mfumo huu wa file hauko supported kwenye PC
na sijui ni aina gani ya media Player inaweza...
WAKUU HABARI ZENU...nina samsung galaxy note 2,sasa inaandika No services baada ya IMEI kupotea ghafla.nikijarbu kuangalia IMEI inaandika null/null IMEI
mwenye kuweza kunisaidia wakuu.
thanks.
Naomba mwenye ufahamu anieleweshe kuhusu package za DSTV kwa Tanzania bei zake na idadi ya chanel zilipo ikibidi hata list ya hizo chanel. Pia kama kuna link ya hizi taaarifa zote waweza kushare nami.
Wakuu habari
Nilikua naomba kwa mwenye softewr ya data recover anisaidie coz nimejaaribu nyingibza kwenye net zinaitaje serial number.
Natanguliza shukrani
jamani wana jamii Forum mimi hizi DVD za kibongo kila nikiweka kwenye Deck yangu ya Laptop zinakuwa HIDDEN yaan hazisomi lakini nimejaribu mautundu fukani nkajua kuwa kuna software flani ivi...
Wakuu nimekua nikirekodi tv programmes kutoka kwenye decoder yangu. Changamoto imekua kuzicheza kwenye pc, zenyewe zina extension za mts. Ni player gani naweza kutumia au converter?
habar wakuu?
na2mia pc aina ya hp, tatzo lake kubwa ni netwok niki connect modem inakaa baada ya muda kama dk 2 hv kisha inaji disconnect yenyewe na bando lipo la kutosha sijajua tatizo n nin...
heshima kwenu wadau WA technologia........ naombeni msaada wenu WA jinsi ya kuinstall whatssap kwenye tablet ya android ya kampuni ya accer. nimejaribu kuingia pale kwenye play store lakini plae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.