Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye kujua namna galileo inavyofanya kazi tafadhali anijuze, ikiwemo configurations zake (i.e IPCS address and other connections). Na je hii application inahitaji license au ni free. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hivi hii simu kwa bei ya mkonon unaweza kununua shilingi ngapi? Pia unaangaliaje specifications zake km internal memory?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau kwa mwenye ufahamu anisaidie tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
804 Views
habari zenu wana jf.. nina laptop yangu aina ya hp 6535b, na nimeinunua used tangu 2012 na ilikuwa safi tu mpaka mwaka huu mwezi wa tano ilipogoma kuwaka mpaka leo hii! ilianza tatizo hili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naomba msaada nataka kujifunza computer programming ila sijui nianze na lunguage ipi, maana zipo kiba, je ipi ni bora zaidi kwa mtu kama mimi sina background yeyote katika PC progmm language?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba anayejua mahali wana unlock hizo Iphone na bei zake!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habar wanajanvi. simu yangu ya tecno M5 inamatatzo yafuatayo. 1. mtu akinipigia au nikimpgia nikianza kumrekodi tu simu inakata yenyewe. 2. nikipiga vidéo call simu inakata then...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wa Jukwaa hili amani kwenu nyote! Naomba msaada wenu namna ya ku-install whatsap kwenye IPAD! Natanguliza shukrani. cc RGforever
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar wadau, naomba mwenye activator au jinsi ya ku activate window 8 pro 64 bits.
0 Reactions
5 Replies
762 Views
Wakuu hii flash imegoma kusoma kwenye pc,ukiscan yale mafail yanaonekana yakiskanika na inaonekana kabisa kuwa yamejaa kwny flash ila ukiopen unakuta empty. C6 CHIEF MKWAWA MWONGOZN WENU
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Sim yangu ya samsung galax S 3, GT-18190 hai conect kabisa na internet nimejaribu kila lain lakin hakuna mafanikio msaada tafadhali...!!
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Download hapa https://drive.google.com/file/d/0B1nnQK_ILkSXZlI4VlVpMnJVYkk/edit?usp=sharing
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Tafadhari wadau mwenye Product Key Microsoft Office 2013 naomba msaada..! Thanks in advance
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepoteza huawei ascend g510. Sikumbuki akaunti ya gmail ya simu ile bt nina imei no. Any help please it contain many vital information. Please! Sijalala nasubiria notification ya sim change...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawezaje kudownload video Youtube......
0 Reactions
2 Replies
730 Views
wanajamvi naombeni mnisaidie kunijuza duka gani ambalo ntapata screen touch au screen digitizer ya nokia lumia 820 kwa dar, arusha au iringa
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Kuna mtu ameniomba nim-recommend the best state of art laptop with top specifications and high performance. Pia ameomba nim-recommend the best smartphone with greater specs, high performance na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nina tatizo ku initialize hilo game linaishia ku display logo then haliendelei. game nimeli download jana na kila nikifungua halifunguki ila zinatokea crush dumb error messages nimejaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada wakuu..kuna galaxy note 2 hapa haiwez ku acces mtandao inaandka no service. Na kwa upande wa IMEI nikijarbu inaleta null IMEI. msaada wakuu jinsi ya ku solve hili tatizo. Thanks.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SuperSport will become simulcast from Tuesday, 12 August 2014. This means that Standard Definition (SD) and High Definition (HD) channels will display on the same channel number. Channel 201...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom