Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
though rate ni ndogo kwa simu zenye ubora, hii habari lengo lake ni kutoa angalizo kwa watumiaji wa michina kwani nyingi ya hizo ziko chini ya viwango Even while the debate over whether cell...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Leo ni siku ya nne inakamata TBC1 na TV1 tu, hakuna kitu kilichobadilishwa, ni LUKU iliisha tu na tulivyoongeza na kuwasha ndo ikawa ivo. Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi niweze kuzirudisha...
0 Reactions
7 Replies
869 Views
Salam wakuu nina samsung tab model GT P 6800 imevunjika kioo lakini inadisplay vizuri nataka kubadilisha hicho kioo niwapi naweza pata kioo kipya na nani bei gani na wapi kunafundi mzuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Girl’s Galaxy S4 Smartphone Burns Under Her Pillow as She Sleepshttps://www.yahoo.com/tech/girls-galaxy-s4-smartphone-burns-under-her-pillow-as-93135039699.html
0 Reactions
2 Replies
1K Views
firefox mozila new version ina stack uki allow IDM Kudownload help plz
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Mwenye fifa 14 exe origal plz msaada i need it
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hodi Wadau, Eid Mubarak!! Naomba msaada wa mwenye kuifahamu/kuijua very effective eraser ya internet browsing. Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
828 Views
5 of China’s coolest homegrown smartphones in 2013 (INFOGRAPHIC) September 11, 2013at 3:08 pmby Steven Millward Share 573911250 China is an Android nation, with an estimated 300 million active...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Razer CEO Tan Min-Liang (center) at a cosplay event in the Philippines. Yes, he gets to take lots of pictures with hot chicks. Tan Min-Liang, the Singapore-born CEO and creative director of gaming...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Nimeona kwenye gazeti la citizen la leo kuwa smart card zitaanza kutumika ndani ya miaka 5 ijayo na kutakua hamna haja ya mtu kununua decorder na kwamba zitakwa na cheap kama ilivyo laini ya simu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mahali nilipo natumia vodacom , tatizo nililo nalo ni kupungua kwa speed ya mtandao sekunde chache baada kuconnect modem. Nimejiunga bila kikomo ya voda, ninapokuwa nadownload na idm...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp, sijawahi kugusa chochote kwenye system, ila imetokea ghafla nikifungua chochote chenye sauti ie video, Youtube, nyimbo na vingine vyote haitoi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari ndugu natumai mtakua mmeianza siku ya leo vizuri........naombeni msaada laptop yanga dell inasumbua kuzima inawaka vizuri ila inapofika nataka kuizima haitaki na hili tatizo lina siku ya...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Wadau, Nahitaji kutumia Nokia Lumia 520 kama portable wi-fi hotspot ili niweze kuunga internet kwenye PC kwa kutumia wireless. Tatizo linakuja ninapotaka kuturn ON internet sharing napata message...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
msaada jinsi ya kudownload video toka youtube.nmesoma post nmeambiwa tubemate.nmedownload inashindikana.sijui ni aina ya simu ama uwezo mdogo.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Source: http://lifehacker.com/computer-manufacturers-ranked-how-to-pick-a-laptop-tha-1467145338 Computer Manufacturers Ranked: How to Pick a Laptop That Won't Fail With so many options...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Wadau mbona hizi smart phones zinamaliza charge haraka? Unanunua simu over one million Tsh ukicharge kufika saa sita majaribu. How can one improve the charging system. Asante.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa nimeshusha video kibao za mafunzo kutoka Youtube sasa nataka nitumie deck ya video/dvd ili niziangalia kwa uzuri kwenye TV screen,nitazibadili kwa kutumia njia gani au software gani. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani ningependa kufahamu bei ya WI-FI dongle kwa wale wanao fahamu kifaa hiki na wapi naweza kupata.
0 Reactions
3 Replies
823 Views
wakuu..habar zenu. Nipo interested na hii cynogen mod ila tatizo nashndwa ku flash hii rom iliyopo ili nianze ku install cynogen ROM.Natumia Rom manager. Msaada wakuu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom