kuna mtu ana iphone sasa anataka kurestore ili aondoe information za aliyekua anatumia lakin anaogopa kwamba inaweza kumdai apple id au pamoja na password ambazo yy hazijui sasa afanyaje?
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa...
Hizi software ndio zinaaminika katika mpango mzima wa ku-track WhatsApp.
Stealth genie
Mobile spy
Mobistealth
Mspy
Spy bubble
Swala lililopo ni kwamba zinapatikana lakini mpaka ununue...
habari wanajf,
samahani ninashida moja kubwa HAPA, ni kwamba cd yangu niliyonunua sambamba na tv tuner yangu
WinTV-PVR-150 Multi-PAL PCI TV Card - 26589 LF Rev F945
imepotea lakini tuner...
Habar za ijumaa tulivu
wadau naombeni mnisaidie, nina software ya idm ambayo niikuwa naitumia lakini kwa sasa inaniambia imeisha muda wake na hivyo inatakiwa serial number, nimejaribu kutafuta...
Wataalamu wa jukwaa hili naomba kupata ufafanuzi kuhusu kuendelea kuitumia laptop ukiwa umechomeka waya wa kuchajia umeme (adaptor) kwa ajili ya kuchaji betri hata kama betri imejaa je, kuna...
mssada jamani nitumie software gani pakua vitu online kwasababu natumia IDM ila ina nizingua serial key nina version tatu zote zina serial keys zake lakini nikiinstall nikiweka na serial key...
Wakuu.Nina mpango wa kununua hii simu ila sina uzoefu nayo sana.Nimegoogle spcs zake lakini kwa kweli zingine zijazielewa.
Naomba kwa mwenye uzoefu na simu hii tafadhali anisaidie hasa weakness...
kwenu wakuu, nina laptop yangu aina ya acer, ambayo mwanzo nilikuwa naangalia youtube fresh ila nilimpelekea jamaa mmoja akaniongezee software flani flani, baadae kaniwekea na idm kaniambia naweza...
wadau nimeanza kuitumia hii simu kama miez miwil iliopita sema tatizo lake ina stuck sana hasa nkitaka kupiga simu pia siwez kusave vitu moja kwa moja kwenye sd card tatizo ni nn...??
Kwa kweli mim ni mdau mkubwa sana wa hii simu ambayo inaongelewa sana na inatajwa kuwa ni kati ya simu bora za mwaka huu lakin nashangaa upatikanaj wake hapa bongo umekua ni mgumu sana kama kuna...
Habari wandugu.kama heading isemavyo hapo juu. Nimenunua simu inayotumia OS ya windows. Ishu imekuja nataka kuweka ringtone za miziki yangu ila sioni pahala pa kuanzia! Nimehangaika weee hadi basi...
Habarini wadau poleni na majukumu naomba kuuliza je naweza kuzi format hizi simu zinazouzwa na Tigo HUAWEII Y 530 na kama inawezekana ni wapi naweza pata Huduma hii na Malipo yake yakoje asanteni...
Wakuu nina tab yangu Galaxy Note, nilikuwa natumia whatsapp kwa line ya Voda. Baada ya kubadili line na kuweka airtel , whatsapp imekataa kufanya kazi. Nime uninstall na ku install tena lakini...
Heshima mbele wakuu
Nina computer 3 aina ya DELL optiplex 760, zinasumbua sana ukiwasha zinabaki kuwaka taa rangi ya orange.
Marekebisho yake inatakiwa kubadili motherboard. Kama kuna mtu yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.