WADAU NILIKUA NAOMBA KUJUA KAMA TECNO H5. INAFAA. KU ROOT AU KU UPGRADE. NIPO MBIONI KUNUNUA
GENERAL Information B4
2G Network GSM 900 / 1800
3G Network HSDPA 2100
4G Network No
SIM Dual...
Wasaalam wakuu,
Kuna kiduara kwenye dash board kimeandikwa herufi ABS kinawaka wakati gari inatembea, nahisi kutakuwa na tatizo. Je tatizo hilo ni lipi?
Kwa kawaida kiduara hiki huwaka gari...
Wadau, Natumia window phone Nokia Lumia 720 je kuna Apps yeyote ya JF kwa ajiri ya hizi simu??
nimekuwa nikipata shida sana kuanzisha Thread mpya humu Jf kwa kutumia hizo simu, imebidi niwe natype...
JAMANI WENYE UJUZI NA proXPN WANISAIDIE NAITAJI KUNUNUA KIFURUSHI CHAO BUT SINA UHAKIKA KAMA NIKISHANUNUA INTERNET CONNECTION YAO ITAKUA NA SPEED KAMA WANAVYOSEMA GUYS KAMA KUNA MTU AMESHAWAHI...
Apple is gearing up for the launch of the iPhone 6 in September and has reportedly placed a massive order of between 70 and 80 million units far more than any previous iPhone launch. As weve...
Mvumbuzi wa boti isiyotumia nahodha, Emmanuel Bukuku akitoa ufafanuzi wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius...
Habari wana jf
simu yangu tajwa hapo juu imejilock baada ya kuingiza pattern zisizo sahihi kwa kukosea kosea mara kwa mara ndo ikajilock
na kila nikiiwasha inataka niingize email na password...
wakuu habari za majukumu mie natumia huawei Y511-T00 haiko rooted tatizo ni kwamba inabaadhi ya apps zipo kwa kichina na halafu haina preinstalled apps kama vile google+,google drive,google play...
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na IOS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na ios haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi
Hii style ya kila mtu anafungua BLOG MPYA kila siku alafu anaweka content za ku-copy na ku-paste kutoka site nyingine ni common sana, Hakuna idea mpya au akili imeishia hapo? Come up with...
Wakuu kuna program zimejiInstall zenyewe kwenye PC hivyo kila nikiwasha mashine
zinaniletea meseji kama nilivyoonesha kwenye screen shot vipi hili si tatizo?
hizo mbili zilizojitenga MYPC BACKUP...
Kuna laptop nimeichukua kwa jamaa nikianza kuichaji inaniandikia battery recalibratin halafu ikiendelea inaniandikia chajing betry to ful baada ya dk 10 inajaa halafu ina andika dischajing betry...
Heshima kwenu wakuu....
kila nikijaribu kupiga picha naambiwa"unfortunately your gallery has stopped" nimeclear cache kwenye both camera and gallery applications mpaka nikaflash simu lakini bado...
Habari zenu ndg. Jamani ni wiki moja na siku tano sasa zimetimu tangu simu yangu iwe inajifungua yenyewe GPS. Kila nikiiswitch off inajiswitch on , nimeshahangaika sana hivyo naombeni msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.