Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jamani wakuu simu yangu ni nokia asha 311 nahitaji kuelekezwa namna ya kupata hiyo google play asante
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari ya kazi wana jf hivi screen protector ina kazi gan kwenye simu naomben msaada wenu Asante!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa hili pendwa! Ndugu zangu nina hamu ya kujua au kupata msaada toka kwenu kuhusu haya nimekuwa sina ufahamu nayo juu ya huduma fulanifulani zinazokuja na simu zetu hizi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habar zenu. Ilikua ni ghafla tu nashangaa sim card hai somi kweny simu yngu.. Nin linaweza kua tatzo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ninasamsung s5 korea version tatizo lake haichange network mode yaan mda wote ni gsm nikitaka kubadili kwenda kwenye auto haitaki,je tazizo ni nini wanajamwi??????????????????msada tafandhali
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mvumbuzi wa boti isiyotumia nahodha, Emmanuel Bukuku akitoa ufafanuzi wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu yangu, Huawei Y300,m-horse
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu siku za nyuma nilikuwa natumia IDM kudownload video za YOUTUBE lakini siku za hivi karibuni kila nikijaribu faili linakuwa na ukubwa wa KB.. yaani unaweza kukuta kb800 faili ambalo ukubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey guyz, nna smartphone mbili nnataka kuitrack phone yng nyngne location plus kila kitakachokua kinafanyika ni app gan naweza kuitumia??
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Ungejisikiaje kama ungegundua rafiki,mpenzi na hata mke au mumeo ameku save kwa ID gani ktk simu yake! Niko ktk hatua za mwisho kama software developer kuweza kuwapatia wale watakaopenda bidhaa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
habar zenu wana jf? samahan nina tatizo kuna mtu ame unpin slide zangu za kwny window 8 so kuna baadh zimepotea kama desktop na zingine. mwenye kujua jinsi ya kuzirudisha anielekeze wakuu!
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Niliinstall window 7 sasa baada ya siku 30 pc yangu ikaniletea black screen na kuna sms inaniambia window is not genuin. Nikapata hyo application kwa ajili ya activation tatizo linakuja hapa kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nina TV yangu Hitachi flat screen, rangi ya silver, bahati mbaya iliungua maeneo ya power supply kutokana na kuyumba kwa umeme, wakati huo nilikuwa sijaiunganishia umeme kupitia voltage...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nikiwa natumia simu yangu . pamoja na uwezo mdogo na wa simu, Hapa chin I ni screen short ya downloading speed katika simu yangu
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua mahali nitakapopata hiyo solution na bei tafadhali. Ahsanteni waungwana, nawasilisha!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu yangu inashida
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Deleted..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wednesday, July 23, 2014 Body of sperm whale beaches in Kilifi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni latest flagship phone ya hawa jamaa, design yake ni kama iphone by apperance ila nadhan ina advantage kwa sababu kwanza inatumia android the most popular ios na wengi tunaipenda kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
i am looking for a company which deals in selling Laptops / HP cartridges in bulk. PM me....
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Back
Top Bottom