In an ongoing series on hybridizing fruit trees, Syracuse University sculptor Sam Van Akens Tree of 40 Fruit is true to its name. Most of the year, it looks pretty ordinary, but in the spring...
Wanajamvi naomba nitoe maelezo ya kina juu ya ombi langu na atakaye nielewa naomba anisaidie,
ni hivi ninataka kufanya yafuatayo,
1. Kufanya shooting kwa kutumia camera zaidi ya moja
2...
Nina web-based mobile browser application, ambayo ningependa user awe anafanya malipo ya item anayonunua kwa kutumia M-PESA, Tigo PESA na Airtel Money.
Naomba msaada wa jinsi ya ku integrate na...
Speed kubwa ambayo nimewahi kutumia ni 3.2 MBPS tena nikiwa Dar tu! Sasa leo niko huku Wilayani nayaona haya maajabu ya karne ya speed ya ajabu ambayo sijawahi si tu kuiona hata kuisikia...
Wkuu..habari zenu
Mwanzo nliweza ku unlock hii modem ya airtel zte mf 190.
Sasa leo nimepata nyngne nataka ku unlock naona Dc unlocker ninayo tumia sasa ni miznguo maana inaleta habar za user...
Habari Wa Jf. Mie Mpenzi sana Wa technologia. Sijisikii Vizuri pale kitu kinavyonipita bila Kukielewa. Katika Mtandao Wa instagram vidude nlivyoviattach vinapatikana Wapi ili kutia Mbwembwe kwenye...
Wakuu nimesikia hii kitu inawezekana na Downloading speed inakuwa kubwa
lakini kila nikijaribu basi Huwa zote hazifanyi kazi, kwa anayefahamu naomba maelekezo
zaidi.
KWA UFUPI
Kama zilivyo kada nyingine za sayansi, waongoza ndege wanapitia mafunzo ya kina ya nadharia na vitendo katika vyuo vya usafiri wa anga.
Wiki iliyopita Mkufunzi Mwandamizi wa usimamizi...
Kwa wale wajuzi wa simu naomba msaada wenu nahitaji kununua hii simu nimeikuta duka la Samsung pale makumbusho kwa bei ya 190000 nikasita je inawezekana kweli ikauzwa kwa bei ikawa ni Genuine...
Natumia Acer min computer, window 7 Nime install Kaspersky ant virus kwa licence ya mwaka mzima na iko updated kabisa, tatizo nahisi computer ina virus japo nimekua nikifanya window update na...
Eclipse IDE
Kamaunampango wa kuwa computer Programmer, Java paradiso ni sehemu nzuriya kuanzia kwa ajili ya kufikia malengo yako.
Unawezakufatilia vizuri mfululizo huu wa tutorial kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.