Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari za majukumu wanajamvi naomba msaada wa universal key za antvirus ESET kazi njema
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Imagine following situations: You have a Google Android device but you don't have Internet connectivity You have Internet connectivity but you don't have Google Play Store in your device You...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Nipende kuanzisha hii contest kwa wakali wa graphics ambao watafanikiwa kuja na wallpaper nzuri ambayo wadau wataikubali kuwa inashika #1 kuliko nyingine kwa mwezi Februari. Endapo...
18 Reactions
48 Replies
8K Views
Jambo wakuu. Nina laptop hp630,nilimvua mtu na kuamua ku-install window 7.Cha ajabu ni kwamba lugha kwenye browser yoyote ninayo install ni Kirusi,mabingwa naombeni msaada kubadili lugha na kuwa...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Wakuu nimekuwa nikitumia modem ya Voda na Airtel kwenye laptop yangu kwa muda sasa. Cha kushangaza sasa kila nikiweka modem yoyote kati ya hizo haikubali kufanya kazi. Nika uninstall zote ili ni...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
wadau msaada wenu play store kwenye simu yangu samsung galaxy S4 min inafunguka kwa shida sana sijajua shida ni nini, msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu wa teknolojia.. me nina king'amuzi cha azam, dstv na Startimes. Nimeangalia ubora wa picha na sauti.. naona startimes wanaubora mbovu sana.. Je startimes wamepunguza ubora wa picha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habar zenu wana jf ??? cm yangu inasumbua kila niko download Google play inaniambia your requested item could not be found ......... nn Tatiz??? msaada tafadhal....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimeinstall upya windows kwenye laptop window 7 bit 64 , sasa kila nikiinstall adobe master collection haimalizi na inasema ' please insert disk adobemastercollection5-trial-english to continue' ...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
habari wakuu? najipanga kununua laptop yenye specs :proces duo 4gb ram 4gb na hard disk 500.au intel 3i_4 na kuendelea.
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Nimeiona aina ya (NEC) mi sina uzoefu (utaaramu) msaada kwa anae ijua aina hii
0 Reactions
3 Replies
853 Views
Designing a banner for your blog or website has never been this easy. You can now create professional banners with very impressive graphics and automatically generate the html codes which you...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Kwa wale wadau wa movies,Najaribu ku search bitcq kwa ajili ya ku download movies lakini inakua hai respond chochote wala hata hai search movie ninayo itafuta,nashindwa kujua nitumie web gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumia simu ya kawaida kwa bahati mbaya nilifuta sms zangu je kunauwezekano wowote wa kuzirudisha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Portable applications are useful if you use many different computers. You can take your library of applications with you and use any Windows computer to run them. However, what if there is an...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu. Nina Dell gx280 sifa zake: HDD :80GB RAM :2GB PROCESOR :3.6GHz OPERATING SYSTEM ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nili uninstall kwa Bahati mbaya play store kwenye simu yangu kila ninapojaribu kuirudisha kupitia moboginie inakataa.Naomba msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Physics teacher said expansion gaps in railways are a must to prevents rails from buckling during hot weather. Good! The trouble is gaps cause discomfort and noise as train wheels go over the...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu. Nina Dell gx280 sifa zake: HDD :80GB RAM :2GB PROCESOR :3.6GHz OPERATING SYSTEM : WINDOWS XP ROYALE SP3 2010 JE Ninaweza weka WINDOWS 7 na ikakaa vizur...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Wakuu, Natumia tecno S9, lkn bado inanizingua yaani sijaielewa vizuri. Sasa kila app ninayotaka haifunguki, neno "whatsap is denied to read contacts" ndo linakuwa displayed! Naombeni msaada...
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Back
Top Bottom