Nimegoogle nikaona zipo simu za android ambazo zina physical qwerty keyboard, lakin katika pita pita zangu madukani sijawah kutana nazo. Kama kama unaifaham simu yenye sifa hzo, ambayo inapatikana...
habari wapendwa!
nahitaji kununua smartphone mpya, na ninatamani yenye buttons as nina allerge na touch screen. Kindly advice, but isiwe blackberry wala nokia asha.
Habari wadau!
Nipo consulting company lakini kwa upande wa supervision kwa hiyo experience ninayo gain nikuhusu road construction.
Sasa nimejaribu kuji train kufanya designing kwa kutumia hiyo...
Asalaam Aleykhum wadau. Natumai mfungo unaenda vizuri. Nina shida ya kuweka Windows 7 kwa DVD, laptop nayoifanyia kazi ni Lenovo G 500 mpya kabisa. Haiboot kwa commands zs F 12, F 8 wala ingine...
Habari wanajamaii forums
Samahani Nina television yangu ni flat digital nimeweka antenna tu bila king'amuzi ninapata channel nne tu ubc,citizen,ktn na Emmanuel tv,lakini channel za Tanzania...
Habari wana jamvi
Simu yangu ni Tecno M5 nimejichanganya kwenye setting imekuwa kila ninachocomand inaongea. Kibaya zaidi inagoma baadhi ya application na haiendi tena kwenye setting, haikubali...
Helo wana it humu ndani,nina tatizo moja jamani,natumia cm aina ya huawei y500 kuna program moja nikiiweka inaniletea sms kwamba kuna features hazipo naomba mwenye ujuzi afafanue.tafadhali
za mchana wakuu
naomba niende moja kwa mojo kwenye shida yangu. ninasimu SAMSUNG S2 jana gafla imeandika the application logsprovider has stopped unexpectedly . please try again.
kwa chini...
Wataalamu wenye ujuzi na hizi simu, naomba kuuliza:
nina android yangu ambayo kwenye setting ukiingia kuna sehemu pameandiikwa Mobile data..ina graph ilisetiwa mobile data 2GB lakini hivi...
ni kweli kuhusu kushuka kwa mauzo ya S5 vs iPhone 5S??
When we last left Samsung, the company saw sales falling 9 percent and revenue falling by 24 percent. Now a survey by Counterpoint shows...
naombeni msaada kweli kwani nili format ikakubali sema haijarudi katika hali yake jinsi ya kuwaka tu ina waka kivingine badala ya kuandika samusung galaxy s3 mini 18190 saivi ikiwaka ina andika...
Many of the world's websites suffer from mistakes that can dramatically impact their effectiveness. We've compiled a list of the 17 common mistakes with helpful advice on how to avoid them.
Many...
Dear Students, entrepreneurs and other communities member
I would like to have a serious guys to establish a business in Dar es salaam Region.
Kindly please Come up with an idea, and Make A...
Its no secret that unsecured servers may be hacked in as little as a few minutes. But even secure servers are vulnerable, thanks to a slew of common oversights.
Ethical, white hat hacker Asher...
Nataka kubadili screen ya i phone yangu . I have time only for tommorow . So kama unajua sehem ama mtu naombeniniunganishe naye.. Nipe namba ama ni inbox plss
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.