Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu huwa napenda kununua internet Unlimited Bundle, lakini nimeona mara nyingi siwezi kutumia hata nusu ya hilo bundle kabla mwezi haujaisha. Nafikiria kushea matumizi na watu wengine. Je...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
shida yangu ni kuprint logo katika glass mfano "jf pub" nipeni msaada kuna mtu anahusika na kazi hzo hapa jf? au anielekeze panapohusika
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya jamani nani mkali hapo? Personally I prefer Nokia N9.
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Huu Mkongo wa Taifa umekunufaishaje katika huduma za internet.?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
habari zenu wakuu.. nimekua mtumiaji mkubwa wa internet na computer pia, kuna vitu ningependa kufahamu kwa undani zaid. LAN internet ni nini, unapoingia internet cafe utakuta kuna waya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
nimeskiliza leo clouds nimemskia mama mmoja akieleze mradi wake wa kutengeneza betri kwa kutumia mimea. je hapa anaitengeneza vp.?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kuwa na simu mojawapo ya Huawei. Je, hii model ya G610 kwa wale walionazo au wanauzoefu na simu za Huawei, simu hii inaweza kuwa nzuri kwa matumizi ya kawaida ya smartphone? Naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habr wana jf msaada jaman nataka kununua wireless internet router, mwenye uelewa na hv vitu anifahamishe coz nataka kuitumia kwny mazingira hostel il watu wafurahie huduma. na je gharama zake zpo...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
nina galaxy s3 korean version(SHV-E210K) ila hai run ussd code like tigo pesa na kujinga xtreem pia haina switch ya kuwasha e(2g) au 3g(h),,iko na android ya (4.0.4).....msaada...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wanajamii forum,naomba anayejua anisaidie original phone password kwa sababu nimezisahau,simu ni nokia 2690,natanguliza shukrani!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu,. Naomba msaada wenu, kama ninaweza kuwa offline katika groups za WhatsApp pasipo kujitoa moja kwa moja. Kama nitakapotaka kurudi niweze kufanya hivyo bila msaada wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nipo vacation nchi ya watu marekani, nataka kununua tablet ila nina mashaka kama zitafanya kazi vizuri bongo. Kwa wajuzi wa mambo, nahitaji kujua ninunue tablet gani ambayo nitatumia bongo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana tulikaribishwa nyumbani kwa rafiki yetu ili tuangalie fainali za kombe la dunia hiki mitaa ya tegeta basi wakati tukiangalia mtanange huo umeme ulikuwa unaongezeka mara unapungua mara tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo kwenye kipindi cha teknoleo kinachorushwa na tbc walikuwa na jamaa waliotengeneza sola panel kwa kutumia mkaa na inafanya kazi. kama kuna anaefahamu kuhusu hilo tusaidiane hapa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu maelezo ni kuwa napoanza ku-instal itaenda kidogo punde italeta ujumbe huu 'setup cannot find groove.en-us\groovemuiset.msi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji serial namba ya Idm? Nitajie version ya idm yako nami nitakupa serial namba yake, for free.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada simu yangu imeangukia kwenye beseni la maji yani haifai. vp kunauwezano ikapona kweli? Naomba mwenye idea anisaidie .
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale wakereketwa wa IDM hii hapa link ya setup V7.1 full pre activated https://www.dropbox.com/s/9n1ak89een47b1s/IDM%20Latest%207.1%20Full%20Version%20%28Pre-cracked%29.zip
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za siku wana j.forums nmeona nweke hii post ya program itakayo kuwezesha kucopy mafile ya mwenzio bila yeye kujua, Kuna wakati Tunahitaji vitu flani mfano kucopy data muhimu kutoka kwenye...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
naitaj ku download aprication km vle photo editing,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom