Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
mimi natumia whatsapp ila kinacho nichanganya nikwamba rafiki yangu anaomba nimtumie "biblia". sijui nitamsaidiaje, kudowload naweza ila namna ya kumtumia mtu mwingine siwezi. msaada wakuu wangu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Miwani ya kisasa ya Google imedukuliwa, ambapo sasa inaweza kufanya kazi kwa kusoma mawazo ya mtu. Mtumiaji anaweza kupiga picha kwa kufikiria tu. Kwa kutumia miwani hiyo ya kisasa na kuunganisha...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Wakuu habari zenu! Napendelea kuwa mtaalam wa software za vifaa tajwa hapo juu (i.e, computer, Tv na Simu) lakini sijui nianzie wapi. Binafsi sina utaalam wowote na vitu hivyo lakini nahisi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
samahan nisaidie kuna frend wangu anatumia nokia n70 ina suport vdeo call lakini tumeambiwa na costomer care wa tgo kuwa ina wezekana kutumia huduma hyo ila kuna seting zake.je kuna yeyote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie app ya kudownload muvi za kibongo. natumia simu inayo sapoti anroid.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Natumia tecno p3 ina support 2 line leo asubuhi ghafla imegoma kuwaka. Msaada pls
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ndugu zangun mi nina tecno m3 ilikuwa inapiga kazi fresh,nimeinstall avast antivirus kwa ajili yaulinz wa sim yangu but nilipokuwa naijaribu kwa kutumia pc nikakuta nimetuma command ya kulock so...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Namna ya ku unlock huawei 530 ili itumie laini zote. (Ni ya tigo)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada mtu mwenye calibration setting nzuri za SONY BRAVIA TV 32 LEDModel: KLV-33R4024. Picha hazina ubora mzuri kama nilivyotarajia na kwa mbali zinaonekana kuzibwa na mithili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear member of the flow! Am looking for a proper programming codes to develop a project whereby I can use a mobile missed call as a password for security purposes in opening a particular...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari wajf, nimetathimi sana na nimefikiria kujaribu kutengeza katuni za watoto katika mazingira halisi ya Kitanzania. Nimetunga hadithi kadhaa za watoto ambazo nadhani zitafaa zaidi endapo...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
HABARI WAKUU Nimeanza kutengeneza forums kwa kutumia free php script ya PHPBB.ninaomba wataalamu wangu tuipitie na mnisaidie kutoa makosa na ushauri wenu kwa jinsi mtakavyoiona. lengo=nataka iwe...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu aliifunga simu yake kwa pattern sasa wakati wakuifungua sijui alichora pattern mara nyingi badae ikabidi ikajifunga kabisa akatakiwa aingize email yake na password wakati pass...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Amazon launches cut-price Dropbox competitor Zocalo, takes a page from Microsoft’s monopolistic playbook Amazon, after years of letting Dropbox ride its cloud storage coattails, is finally...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa nini simu yangu inasumbua youtube ,inaonyesha 3g lakini inascrach! msaada
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Wakuu na wadau wote wa hivi vitu vya kutachi,naombeni msaada wenu make watu wengi wamesaidika kupitia jukwaa hili.Kusema kweli mimi ni mshamba kwelikweli kutoka huku bush kwetu kinyerezi,nimekuwa...
0 Reactions
4 Replies
985 Views
Samahani wadau nami nataka kujiunga katika ulimwengu wa digital, naulizia ni aina gani ya tecno smart phone ambayo ni poa na ya bei nafuu kwa sasa, bei isizidi 150,000. Mi niko Dar, asanteni wadau
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu nimejitahidi ku root cm yangu Huawei Y 300 ila inafeli,kuna faili nilidownload last time nikawa nimelisave kwenye memory card,nililitumia kuroot cm niliyokuwa natumia last time ya Samdung...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
people naombeni msaada wenu sim yangu inaniambia SIMLOCK block unlock reset key baada ya kubadili (ICS) rom upgrade na hata nilivyo rudisha ya zamani problem iko palele help pliz cant make calls...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam, Nimeona kuna members hapa jf wanapost kwa kutumia app ya tapatalk, Mimi natumia tapatalk kwenye iPad kwa muda mrefu Lkn kwa ajili ya forums tofauti sio jf.nimejaribu kusearch jf kwenye...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom