Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, nina simu aina ya samsung galaxy, cha kushangaza simu hii inasoma 2g, japo application zote napata ila internet yake ipo slow balaa, je naweza kufanyaje ili iweze kuwa 3g au net iwe fast...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu,. Ninataka kubadilisha Jina langu kwenye akaunti yangu ya Facebook nimeshindwa. Maelekezo ninayopewa na Facebook hayanisaidii kufanikisha kubadili Jina. Kwa anayefahamu namna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wap naweza pata au duka gan hapa dar es salaam wanauza genuine microsoft office 2013.sihitaji package iliyodownloadiwa au cracked versions. nahitaji installation cd ambayo iko sealed and genuine.
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Huawei U8150, U8160 unlocker freeee kwa watu kumi wa mwanzo. pm yangu imejaa maombi ya huawei unlocking nikaona nitoe free software kwa wale kumi wa mwanzo hapa. uki-pm sitajibu
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimefanikiwa kutumia vodacom unlimited kwa 1000 japokuwa wanalimit speed baada ya 1 GB lakini now naweza kutumia hadi 5 GB nakuendelea. Suluhisho ni usitumie modem kwenye laptop bali ni tumia...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
wakuu kuna jamaa kanishikisha huu uchafu imebid ni ipige chini kwa hasira..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau laptop Nzuri na yenye bei ya standard ni ipi,naomba kujua specifications kutoka Kwa wataalamu tafadhali Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Android and Windows to get 'kill switch' Locked phone Authorities claim that a kill switch feature would help reduce phone theft Google and Microsoft will add a "kill-switch" feature to their...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
msaada, jamani nna p.c DELL natumia window 7 64bit nimedownload na kuinstall bluestack ad youwave lakini imeshndkana.
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kutoa lock kwenye simu , natumia nokia N73, yeyote mwenye ujuzi anisaidie. Aksante
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wataalam naomba msaada wenu, natumia blackberry hio hapo juu. mwezi wa pili sasa ukiiwasha inatoa mwanga mweupe tu bila chochote cha maana. mwanzo nilidhani ni lcd nikanunua nyingine bei yake ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ntafanyaje wakuu kuna vitu vya muhimu mule ndan
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Nataka ku-unlock modem yangu Model E1550. Nimesoma misaada mingi humu jamvini ya jinsi ya ku-unlock, lakini yote inataka u-provide IMEI ya modem. Nimeiangalia sana modem yangu sijaona hiyo IMEI...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
TECNO L3 imekataa kufanya kazi. SIM Management haifanyi kazi pia inaleta maandishi "setting has stopped" kila unapojaribu ku activate line zisome. Msaada kwa yeyoye mwenye upeo zaidi....
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Jamani wana jamvi, naomba msaada on how to start an ISP business, specifically wireless internet service WISP. Jamani tusaidiane mawazo n.k
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu,. Natumia simu, kila ninapojaribu kufungua ili niangalie Video Online nashindwa kisha napata huo Ujumbe, Tafadhali naomba msaada wenu wataalam nifanye kitu gani. Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hello wakuu habari! Nimekuwa nikikutana na pc nying hasa dell zimezima.na ukiwasha kuna vitu vifuatavyo vinawaka 1.feni inazunguka 2.taa ya ndan nayo inawaka ila kwenye moniter haidisplay...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni hili, nina sh550,000 je? Naweza Kupata Laptop ya DELL aina ipi iliyoimara.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni used na unlocked toka usa. Inasumbua sana kwenye internet. Mpaka ni restart ndo inakamata na ikikaa muda inagoma hadi ni restart tena. Tatizo ni nini? Natumia mtandao wa airtel
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom