Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimenunua Huawei y300 ila cha ajabu kila niki download app ya Youtube inakubali ila haionekani icon yake juu ya screen.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hebu tupia android theme kali unayoikubali......
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Kwa mwenye uzoefu na hizi SINGSUNG FLAT TV,Hivi zina ubora?.Na vp kuhusu quality ya picha yake?. Anayefahamu tafadhari anijuze,nisijeingia choo cha kike.
0 Reactions
16 Replies
20K Views
nimekua nkiona whatsapp +..nkaidownload sasa inagoma.kufanya installation..msaada plz...natumia tecno p5
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya hizi mobile browser mbili Ipi unaifurahia zaidi? Nime download uc jana ina option nzur zaidi na ipo faster kuliko opermin 8
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Siyo laini yangu, ni ya jamaa yangu. Aliniuzia simu ikiwa na hiyo ya M pesa. Jana ndo amenitaka nimreshee laini yake. Na mimi sikumbuki kabisa nilipoìangusha. Sasa mwenye laini yake anataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je ni video editor ipi ambayo ni freeware.Msaada. VE hiyo iwe bora na inayoweza kutumika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii simu ya Nokia-X inayotangazwa sana kwa sasa inauzwaje wadau!?? Kabla sijaenda Dukani tujuzane kwanza!!!
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Hi kwa wana jamii wote mimi nashida kidogo nataka ni create accunt yahoo inakataaa unaingia kwenye signi up unajaza maelezo yote ukifika sehemu ya kubonya sign up inakataaa ni kwa nini jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CPU iko sokon Ram 2GB HDD 1000GB Processor Dual Core 2.2GHZ DVD RW
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Acer v1 series ina window 8, naataka ku-format nitumie os ya window 7 ila inashindikana. msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Habari wakuu, Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs) Naziona kwenye TV tu ila sifahamu...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nina nokia 6300 nikiweka sim card ina display Phone restricted na niki Undo inanitaka niweke restriction code. sasa sielewi lolote kwani sijui nitaipata wapi hiyo code. IMEI yake ni 356960012800129.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Earth's Magnetic Field Is Weakening 10 Times Faster Now...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
hebu tuambiane ni version gani ya windows ilikuwa na matoleo mengi, either official au zile zisizo official..... hapo nimeziweka baadhi ya versio , tafadhali weka neno hapo ili hata wadogo zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomben anayejua jinsi ya kuinstall custom recover kweny tecno m3.
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Naomba kujuzwa madhara yanayoweza kutokea katika laptop yangu ikiwa nitatumia bila betri kwa kuunganisha moja kwa moja adapter kwenye umeme. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau Ninaomba masaada wa jinsi ya kuongeza namba ya watembezi kwenye blog ili ipeleke blog kukuwa kama blog yingine zilizo kuwa masaada tafadhali
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nina memory card zangu -size- 16GB na 8GB -mtengenezaji- micro SD -simu ambamo ilikua ikitumika ni tecno P5. kuna siku iyo memory card iliwekwa kwenye simu nyingine (samsung 240*320 touch screen...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ukimpigia mtu kama hapatikani badala ya kukuambia hapatikani wanakuletea kwanza matangazo yao ukimaliza kuyasikiliza ndipo unaambiwa unayempigia hapatikani. Mimi kama mteja hii inanikera jamani.
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom