Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tarakilishi ilinitaka kama nihifadhi kazi au la nikasema kwa bahati mbaya NO. Ilikuwa na kurasa 9. Nitaipataje wadau?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nasikia imetoka toleo jipya la simu ya lg ambayo ni lg g3. Mwenye ufahamu zaidi na hii cm naomba anijuze name kwa hapa bongo(dar) inapatikana pande zip! Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nifanye je jamani laptop yangu inanipa Ujumbe huo napoiwaSha tu. mwenye msaada NAOMBENI anisaidie
0 Reactions
0 Replies
745 Views
azam, dstv, ting, continental, dick tek star staki hata kuisikia ushauri, hela ipo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu naomba msada nina simu yangu ya sony ericcsson min huwa inajiweka file linaloitwa thumbnaildata ambalo lichukua space kubwa mpaka 1gb nikifuta linajirudia naombeni msaada wa kutatua hili tatizo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mpangaji mwenzangu jana ameibiwa simu yake mpya ya Tecno M3. Alikuwa anafungua kwa pattern,je wezi wataweza kuitumia au mpka wa flush?
0 Reactions
38 Replies
6K Views
hii ndio program niliyoitengeneza kipindi nikiwa second year, wakati tunasoma C++ , Hebu pitia kidogo hapa , inaRun kwenye 32Bit peke yake ni commandline program 1 hii hapa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu naomba msaada wa wi-fi setting kwenye simu nina simu mbili moja ina 100 mb nataka kuzitumia kwenye hiyo simu nyingine kwa njia ya wi-fi inanigomea inanitolea vitu nivijaze kama network...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hallo, nnahitaji kurekebisha Dishi langu la Dstv limepoteza Signal.Nnaye fundi wangu lakini bado yuko kizaman. Ukimuita inabidi apande Darini/Ghorofani na Wire wa Umeme/Extension & TV Ndogo wakati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama m2 mwenye kioo cha samsung note 2 tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tarakilishi(computer)iliposema kama nataka kuhifadhi, bahati mbaya nikasema NO. Ni ya muhimu kurasa 9 nitaipataje tena?
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Tarakilishi(computer)iliposema kama nataka kuhifadhi, bahati mbaya nikasema NO. Ni ya muhimu kurasa 9 nitaipataje tena?
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nilizima mashine vizuri ilivyowaka file sikuzione zote, zilikua baadhi tu, lakini ukisearch kwenye start menu unapata some folders, nifanyeje zirudi?
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Habari wakuu! Laptopt yangu aina ya Lenovo g500 imekatka mkanda wa display (Video flex cable). Nmetafta spea hii madukan nmekosa. Naomba yeyote alienayo au anaejua wapi naweza kuipata awasiliane...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Ni kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu tumeweza kukutana hapa kama jumuiya moja. Nimejaribu kufanya utafiti mtandaoni lakini Jibu ninalopata ni kuwa Windows installation bila DVD au USB...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pichani ni Iton Mini Bluetooth keyboard inayouzwa 40,000 tuu. Inakuletea uwezo wa kucontrol kifaa chako chenye bluetooth ukiwa mbali hadi mita 10. Keyboard hii ina features zifuatazo: Ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pichani ni Iton Mini Bluetooth keyboard inayouzwa 40,000 tuu. Inakuletea uwezo wa kucontrol kifaa chako chenye bluetooth ukiwa mbali hadi mita 10. Keyboard hii ina features zifuatazo: Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna mtu kakoroga laptop yangu ni kwamba screen yangu ilikuwa imekuwa black kwa vile window haikuwa Genuine! fundi kaenda kuniwekea window ila alipomaliza nilipofika home program zangu kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wadau wa jukwaa hili.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom