Wandugu naomba msaada kwa wenye utaalam na jamii hii ya simu, nina iphone 4 yangu tangu jana usiku inasearch network wakati wote. Nikiondoa line/nikiweka hakuna badiliko, mwenye idea nini nifanye...
[ANT] Simple is a tiny program that reads the security code of any Nokia phone that supports USB connection mode. 1. Downoad [ANT] Simple 2. If you have Nokia PC Suite running, be sure to close it...
Jameni nisaidieni natumia LG F100s ila imeanza kujizima yenyewe na kuji restart imekuwa hivyo tuu hadi uiconect kwa charge ndo inatulia..maana yake nikiitoa kwa charge inaleta ishu zile zile...
Naomba msaada kwa yafuatayo kwenye Lumia 625 wp8
1: Je inawezekana pokes app from another 4ne, if yes nipe procedures.
2: uki-install app eg opera mini unaambiwa not available in a store.
3...
Wakubwa nilikua na wazo la kuanzisha web ya kuuza beats zangu kwa hapa hapa Tanzania.
Ni vitu nahitaji kufanya kabla sijaanza rasmi!
Ushauri wenu tafadhali.
Habari za jioni wanajamii,
Naombeni msaada wenu wa ki-IT.
Nina computer hapa ilizingua windows,nikaweka windows nyingine ya widows 7 prof. nimeinstall hadi mwisho.Ishu imeanza nilipotaka kuinstall...
Salaam wakuu,
kwanza kabisa i want to say thanks to the people i owe mpaka nimefanikisha kuconfigure TG and am now back online after shifting from PD Proxy. Sema issue inayonitatiza wakuu ni speed...
asalaam alyekum wakuu.
tumsifu yesu kristo!!!!
samahan wakuu naomba kufahamishwa kati ya window 8 na window 8.1 ipi ni nzr kuliko mwenzake na kwa sababu ipi n bora kuliko mwenzake...
Habari zenu wakuu?Km mwana jamvi mpya naanza km ifuatavyo.
Nina modem yangu ya zain E1550,baada ya kuapdate firmware na dashboard inaprompt hivi.
The SIM/USIM card has not been detected or is...
Wadau, leo mchana wakati naendesha gari yangu gear zilianza kuingia kwa shida [gari ni 320i automatic] na baadae gari ikagoma kabisa kubadili gear nafikiri ili gomea namba nne au tano maanake...
If you believe the extensive leaks and other "verified" rumors and photos floating around the interweb, the next iPhone will be officially unveiled by Apple on September 19 at an exclusive media...
Si wote wanapenda facebook, japokua mimi ni mdau sana kwani ni sehemu ya kupata breaking news za vyombo mbalimbali za habari, ndugu zangu nimeshindwa kufungua kabisa page ya fb toka juzi,
Natumia...
Nasumbuliwa sana na virus hususani unapofungua any web zinapop up other windows na matangazo kibao mara vigames vya ajabu ajabu,nililipia Avast lakini naona hamna kitu kabisa haizuii chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.