1. DigiCal
The moment you open the DigiCal calendar app, you are greeted by the elegant clean white interface of the Holo Light theme and a dark top bar. Embrace the dark side (if that is your...
wataalam naomba mnisaidie tunatambuaje simu fulani kuwa ipo kundi lipi.mara nyingi kuna ubishi kuwa kadri simu inavyokuwa na gharama kubwa basi inakuwa ktk group la high end. nawasilisha
Baada ya ku unlock simu ya sumsung imepoteza network naombeni msaada wadau namna ya kurudisha network ya simu ambayo imekuwa lockedby carrier , simu yenyewe nisumsung windows phone nawasilisha
Wakuu kwanza natanguliza salam kwenu,
Mwenzenu nimefanya uharibifu kwa bahati mbaya yaani sijajua nilichokuwa nafanya.
Wakati natafuta chaneli inayorusha matangazo ya mpira world cup nikajikuta...
habari wakuu.. nina ka blog kangu nakaendesha ila sasa tatizo langu ni hili.. kila nikisubmit google adsense inanjibu your content's language does not supported by google adsense. why? kwenye...
Wadau nimekuwa nikirikodi video kwa kutumia simu yangu,ila changamoto ni kuwa video hata ya dakika 8 inakuwa na MB kubwa kuliko hata video za zaidi ya lisaa ambazo nimedowload. Je kuna namna...
Wakuu watu wengi tumejikita zaidi katika kuzifahamu simu za bei ya chini, bei ya kati na za bei ya juu hasa hzi smart phones.
Je ni Tablets zipi za bei ya chini ila inayopiga kazi kwa wakati...
Habari za jioni wanajamvi .?
Nina nokia c2 cha ajabu haisomi line yoyote ukitia line inaleta
Phone restricted ukibonyeza ok
inaandika Enter restrictio code
Imeingiza kila cod hazisaport
Naomba...
Wadau nahitaji msaada kuna console ya ps3 nataka kui-Jailbreak ila nimecheza na google naona hola hii ps3 ni....
Ps3 slim CECH-25xx software version ni 4.55, sasa mwenye kufahamu au aliyefanikiwa...
Habari wakuu,
Natumia sim aina ya nokia C-3 ni Wndow application.Toka jana whatsup imekataa kufungua,inaniandikia version ya whats up ime expire hivyo nifanye upgrade.
Kila niki minya button ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.