Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama mnavyojua akina dada na mambo ya Selfie simu inaniangusha tangu nimenunua nashindwa kujipiga Picha- Front Camera nikiset inakuwa Black tu wala haionyeshi chochote wataalam nisaidieni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Iphone5 mpya au used (iliyo kwenye EXCELLENT condition) inahitajika, anyone anaeuza aniPM au aweke offer yake hapa. Asante.
0 Reactions
1 Replies
669 Views
habari,wakuu naomba kujua kama kuna anaefahamu kuhusu vifaa au kifaa cha kuzuia dalili/ishara ya simu kuita. maana naona watu hawana ustaraabu kabisa unakuta upo kanisani/msiktini mtu anapokea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaombeni anayeweza tafadhari. I have the Manual of Programming protocol, but when I write code vb.net returns error message. The following is the table structure of bytes array Collapse |...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Msaada wa utaalam. Nini nifanye honda crv RD1 inachemsha ile mbaya na miss za hatar nimezunguka gereji hapa Mwanza lakin wapi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am writing a book that will be part of Android Students' materials in course that will come in few months. Am writing here because I would like to include answers to question you have been asking...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi eti inawezekana kuongeza chaneli ambazo hazipo kabisa kwenye king'amuzi. Mfano mie natumia ZUKU ila haina star tv wala super sport, Je nazipataje hizi chaneli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni kwa anaejua anielekeze jinsi ya ku unlock computer yangu. Nimesahau serial number. Msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana Tech, Gadgets,.. Naomba msaada wenu namna ya kubadili Jina langu kwenye akaunti ya Facebook,. Nimejaribu kubadilisha sijafanikiwa. Natanguliza shukari.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwanza najipa pole maana walinipiga laptop na docs zote kupotea. Sasa nimenunua mpya ina window 8 na HDD 750GB ila 650GB zote zipo Local C na zilizobaki zipo local D. Je nawezaje kuzigawa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwahili Tigo wametisha. Bei ya Internet Tanzania inaanza kuwa ya bei ya chini. Kama Tigo wameweza kutoa 35 GB kwa 20,000 ipo Siku bei ya internet itakuwa chini zaidi. wazingatie tu internet iwe...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada..simu yangu htC sensation z710e iko na 4.0.3 version...naomba mnipe procedure za kuapgrade hii software varsion..angalau kwenye 4.2 soft version.
0 Reactions
0 Replies
661 Views
mwenye VST plugin ya NEXUS please nsaidie link ntashukuru sana.. nawasilisha kwenu wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
FIFA World Cup 2014 themes The Brazil World Cup by LadyAn. (Icon, wallpaper and widget) [Download] Korea World Cup by Ningtieying. (Icon, wallpaper and widget) [Download] World Cup...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi habari, Simu ya best yangu model tajwa hapo juu Tecno N3 alimuachia mtu akaiblock patten, sasa amejaribu mara kadhaa imezingua simu inadai email, na hajawahi kuiwekea email...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu hesima kwenu mimi nina simu aina ya sumsung galaxy original ila Kuwa bahati mbaya niliindosha sasa baada ya hapo imekuwa na tatizo kubwa niki select icon ya play store inafunguka camera...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari zenu wana JF Nimekua nikijiuliza cku nyingi bila ya kupata majibu Kwenye play store ukifungua application yoyote ile chini kidogo utakuta watu wametoa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, naombeni msaada nina blackberry 9700 bold inatatizo la kujizima na kujiwasha hususani unakuta unaongea na mtu, nimeshauliwa niiflash lakini naogopa nimehifadhi data zangu...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Kuna mtu anataka kuniuzia tv flat screen RISING 19"inches,ila mimi sina uelewa na hizi smart TV,je nazo hizi.RISING ni nzuri km ninavyosikiaga SONY,LG na SAMSUNG?
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Wana jamvi kama kuna mtaalamu anaye jua tofauti na ubora wa hizi aina mbili za T.V, plz anisaidie
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Back
Top Bottom