Habari wana kijiwe wenzangu....nina tatizo katika simu aina ya huawei y 300 kila nkipiga au kupigiwa baada ya muda fulani kama dk moja au sekunde 40 inakata mawasiliano ninaewasiliana nae...
Mara nyingi tumekuwa tukitumia hizi kompyuta zetu bila kuzingatia baadhi ya mambo ambayo ni ya muhimu sana. Ishu za kuchukulia hatua ni kama zifuatazo;-
i) Kwa wale watumiaji wa Windows XP na...
Wakuu.
Michuzi Blog ya Issa Michuzi ni Blog maarufu na yenye mafanikio makubwa sana.
Na Blog nzuri ni ile inayotumia Self Hosted Domain yani kwa mfano www.issamichuzi.com lakini kwa blog hii...
Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..
Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki...
Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni...
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwashukuru Wanajf kwa kutoa elimu kuhusiana na manunuzi mtandaoni,kutokana na hilo nikaona ni vyema nami nijaribu kufanya manunuzi kupitia ebay,kwanza...
Tafadhali wana jamii nisaidieni nawezaje ku-download software ya kuniwezesha ku-download video kwenye mtandao na software gani hiyo? Naomba taratibu zote kupakua software hiyo na jinsi ya kuitumia.
Wakuu naombeni msaada wenu,nime-Update iPhone 3gs kwa kutumia iTunes ya laptop kutoka Version 4.1 kwenda Version 6.0. Sasa nimefika hatua mwishoni ya ku-configure but simu inaonyesha No Service na...
Habari zenu wakuu!!
Natumia iPhone 4s na nimeupgrade iOS mpaka 7.1.Nilikuwa natumia vizuri tu hotspot mpaka juzi sijui imejifuta au nimefuta bila kujua lakini haipo kwenye setting,nimejaribu...
KWA UFUPI
Kwa kawaida wakati wa usajili wa laini za simu au vifaa vingine vya mawasiliano, kuna jambo ambalo mara nyingi linasahaulika kati ya mteja wa huduma za mawasiliano na mtoa huduma yaani...
Galaxy S3 imezimika tu haicharge na pia haiwaki, nlilala nikaiacha charging usiku nlipoamka nikaibonyeza maana nliiacha on, haikurespond nikajaribu kuiwasha haikuwaka, nimepitia mitandaoni nimeona...
Simu yangu ime-hardbrick!
Hii imetokana na mimi kusoma article fulani hivi katika forum.xda-deveopers.com kuwa ROM manager sio nzuri ila kuna application fulani hivi kwa ajili ya kuinstall Clock...
Kuna cm hapa SAMSUNG ya windows mobile@6.1 professional
Processore ARM920T PXA312
memoria 97.30
Model i900
Suali langu hii cm haina lugha ya
Kiengereza tatizo nn hasa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.