its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
ipadi yangu imezima haiwaki tena.naomba msaada nitafanyeje ili iwake.
1.naomba msaada wa kujua hivi ipadi inatumia operating system gani.
2 na ni njia ipi ya kuitengeneza
Jana mida flani ya saa moja usiku nilikuwa naangalia movie mara ikawa inastuck nikaiRESTART baadae ikagoma kuwaka ikawa inaandika window error recovery nikapress start window normal majibu yake ni...
msaada wadau macbook yangu toka juzi inasumbua kuwaka. Lakini jana asubuhi nilipojaribu kuwasha ikawaka, leo hii asubuhi tena imekataa kuwaka naombeni msaada wenu wa kulitatua hili tatizo
Hapo April microsoft waliacha kusupport windows XP! lakini 95% ya ATM duniani wanatumia Windows XP. Hali hii inaziacha ATM mashine nyingi duniani kwenye risk ya kudukuliwa (hacked) na...
Dar es Salaam.Watumiaji wa huduma za kibenki wametakiwa kujiepusha na wimbi kubwa la utapeli kwa njia ya mtandao linaonekana kushika kasi siku za hivi karibuni.
Wametakiwa pia kutokubali kutoa...
Wadau mi kuna kitu nimegundua. Nadhani hawa watengenezaji wa vifaa mbalimbali vya kielektroniki kama simu, tablet na kompyuta ni WEZI na hawana lengo zuri kabisa na sisi walaji na wanashirikiana...
NINA IPHONE 4S NIMEITUMIA VIZURI IKIWA NA iOS 6 LAKINI BAADA YA KU UPDATE iOS7 TATIZO LA WIFI NA BLUETOOTH KUTOKUFANYA KAZI LIKATOKEA,NIMEJARIBU KU RESET NET SETTING LAKINI HAIKUSAIDIA,
NAOMBA...
Wakuu naombeni msaada,ntajuaje ipi ni feki.ninayo ambayo inaonyesha internal memory ni 5GB na phone memory ni 16 GB,ila nikii connect na computer inaonekana phonememory ni 1.23gb badala ya 16gb.au...
Habar wadau, ninayo laptop zile terminal zinazowezesha kuunganisha il kupeleka mwanga kwenye screen, hvo screen haina mwanga. Ninaomba kama kuna uwezekano wa kuweka screen ya desktop(flat screen)...
Habari wanajamvi.Najua hapa ni mahali ambapo watu wana uelewa wa kutosha.Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kufanya ili niweze ku install WhatApp kwenye Apple IPad Air na kama kuna Apps nyingine...
Habari za majukumu wanajamvi, ninatumia samsung gt i5500. Haisupport youtube, microsoft(word,excel,ppt)
Tatizo nin wadau naomben msaads kwa wanaojua. Ahsanten na majukumu mema!!
Za weekend wana jukwaa,
Napenda kutoa uzi huu tushirikiane kwa pamoja najua ni wengi wanakumbwa na hili tatizo na hawana ufumbuzi
Tatizo: Mara kadhaa nakutana na tatizo la kutokuwa hewani yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.