Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanajamvi nataka kuingia ktk ulimwengu wa matumizi ya samsung tablet galaxy note 10.1 ila hizi tablets sizifahamu kwa undani ninaomba msaada wenu juu ya... 1. ni aina gani ya tablets nzuri(it...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hamjambo? Hebu na mimi leo nijifanye IT specialist. Kama unataka ku-root simu yako, fuata steps hizi: 1. Download and install MOBOGENIE PC kwenye laptop au PC 2. Connect simu yako kwenye PC au...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
natumia galaxy s duos gt-s7562 ila imekataa kuwaka inaishia kwenye samsung logo..hapo mwanzo nli iroot na ikawa ina piga mzigo poa tu na nimejaribu kuingiza stock rom thru...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Mi natumia Xilisoft Video Converter 7.7.2 (cr4cked) Ina Convert more than 160 video and audio formats Convert HD videos, up to 1080p and 4K video ! Convert 2D movies into 3D...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nimekuwa nikitumia huawei y200 lakini nikiwa katika zoezi la kuroot nimeharibu android system, nifanyeje niirudishe katika utendaji wake?
0 Reactions
3 Replies
732 Views
naomba msaada kwa anaejua tatizo la simu hii kwan bila sababu button zote yaan back,menu button hazifanyi kaz je nitatizo ninaloweza liondoa kwa kuiflash?
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Wadau Nina Huawei Ascend D1quad ,model u9510 imevunjika kioo naweza kubadilisha kwa fundi gani hapo Dar na gharama zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nashindwa ku crack avast 9 premium, naomba msaada mabingwa!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za kazi ndungu zangu.... najua mtakuwa mmechoka na majukumu ya hapa na pale.. Mimi ni mdau nimeamua kujitolea Sofware ya CINEMA 4D vision zote kuanzia C4D R 12 hadi C4D R15, Pia ninazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika msimu huu wa sabasaba ttcl wametoa ofa ya internet ya bure kwa muda wa masaa 5. Unachotakiwa kuwa nacho ni device yenye wi-fi, watakupa password na utaendelea kutumia internet. Huduma hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta kioo cha samsung lcd flat kama kunamtu anacho aniuzie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kawaida wadau natumai mnaendelea kuenjoy afordable price za TG bei ni ileile 6000/ kutoka kwangu.utaratibu ni uleule ni PM na response hua ni ya fasta
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Habari zenyu wakuu, Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Dear All, Kindly be informed that there is a new service called SWITCH ON the service consists of availability of unlimited bundles for both featured phones, Smart Phones and Tablets ·Switch ON...
2 Reactions
76 Replies
13K Views
Jamani naomba msaada wa activation keys za window 7 professional... Windows yangu imeandika haipo genuine na kwa yeyote anayejua njia zaid ya moja ya kuirudisha to normal anisaidie..
1 Reactions
16 Replies
1K Views
wakuu msaada nmepandishia linux kwenye window 7 sa hvi window 7 haisom kwenye pc na nkajarbu ku install upya window 7 inaleta blue screen inagoma kuinstall!!
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Habari za kazi wa JF Naomba niulize.. et ni software gan ipo vizur katika upande wa ku edit picha ukaitoa Adobe photoshop naomben msaada wenu wadau
0 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu kuna rafiki yangu ameniletea ipad mini nimfanyie restore nimemfanyia kwa kutumia itunes ila baada ya ku restart inanambia activate ipad mwenye kuelewa hili anambie nimemuuliza je mkuu hii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar za kazi wana jf Nimemaliza form 4 mwaka 2012 ila sikubahatika kuchaguliwa kwenda kidato cha 5 na matokeo yangu nilipa four ya 28.Kiukwel napenda sana masomo ya IT naomben ushair jaman...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka Ninunue Simu Tajwa Hapo Juu, Naomba Nipatieni Bei Wadau Za Dukan
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom