Baada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti...
Naomba mwenye kujua mahala pa kushusha ma-series ya ki-korea anijuze. Nakumbuka kuna member aliwahi kupost hiyo link na kama sikosei na software ya kushusha madude haya lakini kwa bahati mbaya...
Wadau wa teknolojia kama yupo anayetumia aina hii ya TV ama mwenye ujuzi nayo anipe darasa kidogo apa. Tv yangu imegoma kuwaka inaonesha taa nyekundu ya "power" ukibonyeza kitufe cha power kwenye...
Jamani kwa kawaida video ikishaload inajisave on temporary memory so ukireplay haina haja ya buffering tena. sasa pc yangu ukireplay tu au ukichagua sehenu specific ya kuplay basi inafutika na...
Jamani kwa kawaida video ikishaload inajisave on temporary memory so ukireplay haina haja ya buffering tena. sasa pc yangu ukireplay tu au ukichagua sehenu specific ya kuplay basi inafutika na...
habari zenu wakuu... msaada jinsi ya ku-update software kwenye Lumia 620 nmetumiwa text ni-update inataka n2mie WiFi ivi hauwezi kutumia data connection? na iyo update ina ukubwa gani?
Nina tecno p3 ila kwa bahati mbaya kuna mtu alijaribu kuunlock simu ikajilock,nimejaribu kireset kwa kutumia utaratibu wa kawaida wa kuhold button ya kuzima na kuongeza sauti ili nireset but...
hi, i have many problems with huawey y300-0151, i can´t flashed, i used many sd, im try with some update.app, is root and have install the recovery, but recovery cant install any rom, always said...
Hatimae blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni,inaitwa blackberry z10 ni full touchscreen phone without physical keyboard kama iphone,kwa maelezo ya wazoefu wa bb hasa crackberry,inaonekana hii...
Wakuu nimekuwa nikicheza fifa kwa miaka minne sasa, lakini sijawahi pata shida kama hii fifa 14, Nimejitutumua mpaka sasa hivi nacheza World Class against computer lakini hawa jamaa ni wagumu...
Hisense joins the Windows Phone club with Mira 6 26 June, 2014 | Post your comment
Tags: Windows Phone, Hisense
It seems like a lot of new companies have joined the Windows Phone fray...
Kuna app ya android ya UNEA imekuwa developed na dada wa kitanzania anaitwa esther lugoe.
Iko google play anahitaji downloads 20,000 i download na kuirate.
Samahani kama ntakukera ila mi sijui na nahitaji kujua. Nimekuwa nikitumia internet kama kawaida ila kila mara naona thread: mara proxy mara tg. Vina muhimu upi? Nawasilisha
Salam,ndugu zanguni nimeulizia bei ya cm hii kwa midcom east,wameniambia ni 173000..naomben mnishaur kwa yoyote aliewah kutumia au anatumia vip inafaa?kama haifai naomba mnipe muongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.