Habari JF people,
Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts...
Wakuu habari za saa hizi mie natumia huawei Y511 -T00 ila tatizo haisupport huduma nyingi za google kama vile google play service,google pay store na youtube sijui tatizo ni nini mwenye ujuzi...
Wana jf
Nahitahi msaada nina samsng s advance ilikuwa na tatizo la charging system akaitengeneza ikapona ila likazaliwa tatizo jingune usb cable haisomi pia haiwezi kucharge ikiwa...
Nina tablet yangu aina ya forsea.
Ilikuwa na tatizo la button za kuwashia kuzama ndani.
Niliipeleka kwa fundi mmoja kwa mara ya kwanza akaziweka sawa
lakini baada ya mda tena kuna mtu aliiforce...
Ningependa kuwa up to date katika kutumia computer yangu lakini sina fedha! Je nitaipataje microsoft office 2013 ya bure pamoja na activation code yake?
Tafadhali naomba msaada!
Habari
Natumia android 4:1:4,mwanzoni apps zote zilikua zinafanya kazi ila kwa sasa kuna baadhi ya apps nikizifungua napata error message"this app wont run without google play service which are...
Hallo Wana JF.
"LETA IBADA SEBULENI KWAKO" Ni SLOGAN ya King'amuzi ambacho kinakupatia TV-GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80. Na kukufanya uwe Connected na UWEPO Wa ROHO MTAKATIFU/MUNGU Muda wowote...
A cyber attack will eventually hit your business and the key to bouncing back is being well prepared.
Its coming ... are you ready for it? saidScot Ganow, an attorney with Dayton law firm...
RADIO hackers have reverse-engineered some of the wireless spying gadgets used by the US National Security Agency. Using documents leaked by Edward Snowden, researchers have built simple but...
Now days there are have been some websites/forum/social media etc where you register and use your e-mail address as "username",most people do not know once they put their e-mail addresses as...
A new jailbreak from a Chinese team dubbed "Pangu" has been released, and reports are spreading quickly around the Internet that it does indeed successfully install the famed "Cydia" jailbreak...
Naomba msaada kwenye Tecno P3 android 2.3 imenigomea kufungua whatsap kila nikijaribu naambiwa nidownload new version imeoneshwa hapa ila kila nikijaribu haikubali
Nisaidieni wataalamu
Amani kwenu Wana Jamii Forum.Nimejiunga na kifurushi cha Wiki airtel kwenda aitel.SASA cha ajabu na kunikasirisha kila dakika inakuja meseji kuwa (umeshatumia asilimia 70 ktk kifurushi...
Habari wa JF,
Natumia U-torrent kwa ku download movies kwenye laptop yangu.Najiunga na bundle ya voda ya sh 1000/=bila kikomo,
Napenda kujua ni nitumiea software gani ambayo iko speed katika...
habarini za leo,samahan nilikua naomba kuelimishwa jinsi ya kutumia whatsup kwenye sim yangu. kwa wakati huu naweza kutuma na kupokea ujumbe na picha,ila ikija video haifungui. laki nitawezaje...
habari za mida hii wakuu, naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuifanyia resetting nokia lumia 620 kwa mwenye ujuzi huo tafadhari msaada unahitajika, thank you so much in advance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.